Naomba kuifahamu CV ya Mwenyekiti mpya wa UVCCM ndugu Kheri James

Elimu za kukariri kunawasumbua mlio wengi, wangapi walikuja na ma CV makubwa na kazi zikawashinda. Nyinyi ndo mlisema JPM hakuwahi kuwa mwanasiasa hivyo urais hauwezi sasa angalia kama bado uraisi hauwezi.
Tumeshaona
 
Nchi hii!Kuna siku tutakujagundua Mbowe ni li TISS
mabashite bwana hawa TISS wanaoleta bombardier mbovu kweli wanaoruhusu vivuko vibovu vinavoenda kufichwa jeshini hawa Tiss wanaoruhusu fedha kuchotwa tu kwa ajili yakumfurahisha bshite motto mpendwa wa mzee ha ha ha TISS ilikuwa ile iliyokomboa nchi za kusini mwa Africa ile ilifanya nchi yetu kuheshimika sio hii ambayo raisi wetu anaitwa dikteta mbaya kuliko hata hitler
 
Hapa hamna mtu anapewa nafasi, kila mtu anaingia kwa MB zake, kama nyie mnangoja kuwekea bundle ndio mje, njooni tu. Wanaume hawangoji kuwezeshwa MB.
Kipindi hiki cha Magufuli bado unajadili issue za bando. Jiunge na kizazi cha T. Unless mwenzetu ni mshamba wa kutupwa. Unajiaibisha, hebu nitajie umri wako kwanza huenda wewe ni under 18 bado upo kwenye puberty period.
 
Aliteuliwa kuwa DAS wailaya ya HAI ila akuripoti kazini(sababu zinafanafana na za bashite(JOKES) ) badala yake akateuliwa mwanahabari fulani kuziba nafasi yake

alikuwa katibu wa mbunge mmoja kanda ya ziwa

anauwezo mkubwa sana wa kuongoza ,anastahili kwenye hiyo nafasi


img-20171127-wa0032-jpg.638804
Alikua katibu wa mbunge Angelina Mabula
Yap ana karama ya uongozi labda abadilike
 
Back
Top Bottom