Naomba kuifahamu CV ya Mwenyekiti mpya wa UVCCM ndugu Kheri James

Kheri James mwaka 2008/ 2009 alikuwa kikosi cha JKT Makutupola,, ambapo HAKUMALIZA mafunzo na kuondoka hapo,, Nijuavyo mimi huyu alichukuliwa na TISS na pia ni ndugu wa ukoo wa Magufuli na kiongozi mmoja wa juu wizara ya fedha kama sikosei ni somebody "James"

king Davidson,

Basi kama hii ndiyo CV yake , kwisha habari yenu wote , iwe CCM au CDM
 
Wakuu baada ya kuwasalimia kwa kutanguliza uzalendo kama tunavyohimizwa na viongozi wetu, ningeomba kuiba muda wenu kidogo.

Nikiwa kama kijana wa nchi hii nafuatilia siasa zetu ili kufahamu mustakabali wa Taifa letu , siasa ndio msingi wa kila kitu katika nchi hii , wanasiasa ndio waamuzi wa mambo yote yanayotendwa kwenye nchi hii.

Ningependa kumfahamu Ndugu Kheri James , Mwanasiasa chipukizi .

Natanguliza shukrani .
ya mbowe umeshaipata,maana kwenye kipengele cha elim huwa hakieleweki
 
Hata ka
Kheri James mwaka 2008/ 2009 alikuwa kikosi cha JKT Makutupola,, ambapo HAKUMALIZA mafunzo na kuondoka hapo,, Nijuavyo mimi huyu alichukuliwa na TISS na pia ni ndugu wa ukoo wa Magufuli na kiongozi mmoja wa juu wizara ya fedha kama sikosei ni somebody "James"
Kijana unaropoka sana hata kama unamjua sana. It was not necessary to mention about his involvement with TISS.
 
Back
Top Bottom