Naomba kufundishwa namna ya Kutongoza Mwanamke

zeanimo

Member
Jul 21, 2010
63
4
Wajameni naomba mnipe formula ya kutongoza coz kuna dem mmoja nimefika bei ila ze problem is where to start. Nisaidieni nami niweze kuufaidi ulimwengu wa mapenzi.
 
Lete nikusaidie!! mbona nimeweka na matangazo ya huduma hii? uwe unasoma mpwa, it is a free service, yes I mean it is FREE, NO charges either in cash or in kind!! mlete basi, just PM ntakuwekea ka namba kangu ka voda au zaina!!
 
Wajameni naomba mnipe formula ya kutongoza coz kuna dem mmoja nimefika bei ila ze problem is where to start. Nisaidieni nami niweze kuufaidi ulimwengu wa mapenzi...
Subiria nature itawakutanisha! Hahahaha, ni wapi ulisikia kuna tuition ya kutongoza? This is a natural phenomenon and practical based exercise bwana. Please, you can't have a business unless you are risk taker!
 
Sijui kaanzisha katopic kake halafu kaingia mtini, sijui yuko kwa ofisi na bosi wake ndo kaingia, sijui hata yuko wapi maskini huyu
 
Wajameni naomba mnipe formula ya kutongoza coz kuna dem mmoja nimefika bei ila ze problem is where to start. Nisaidieni nami niweze kuufaidi ulimwengu wa mapenzi......

Hivi kutongoza ni:
-kudanganya?
-kushawishi?
-kulaghai?
-kurubuni? AU
-kutapeli?

Kama jibu lipo kati ya hayo maneno hapo juu, basi hiyo ni DHAMBI, na mungu hapendi!!!!!!
 
mmh...Elli u sound as BAZAZI/FATAKI.
Msaada gani huo wa kufanyia kitoweo changu kitarajiwa majaribio.
Act like a friend bwana.....Usisahau RAFIKI NI BORA KULIKO MWANASESERE
 
Sijui kaanzisha katopic kake halafu kaingia mtini, sijui yuko kwa ofisi na bosi wake ndo kaingia, sijui hata yuko wapi maskini huyu
Anaweza kuwa mwanafunzi na kipindi ndo kimeanza. Tusibiri break time atakuja tena
 
Subiria nature itawakutanisha.....!!! Hahahaha...... ni wapi ulisikia kuna tuition ya kutongoza? This is a natural phenomenon and practical based exercise bwana..... Please, you can't have a business unless you are risk taker......!

:redfaces:Thanzx Konakali for ur bad test advice. Usauri wako ni uncooperative ila nikifanikiwa kumpata utakuwa my BEST MAN kwenye wedding yangu.
 
FirstLady, am no long a baby, heading to 30yrs. Help me before eleventh hour. Au nipe mistari ambayo umilipewa hadi mkatiki.
 
Sijui kaanzisha katopic kake halafu kaingia mtini, sijui yuko kwa ofisi na bosi wake ndo kaingia, sijui hata yuko wapi maskini huyu

Elli umekomaa na huyu mtoto, vp? ndio adolescent walivyo, puberty inampelekesha kweli, anaona mwili unamwasha, halafu sijui kaiba
hapa kutuma hii msg, mara katimka
 
Wajameni naomba mnipe formula ya kutongoza coz kuna dem mmoja nimefika bei ila ze problem is where to start. Nisaidieni nami niweze kuufaidi ulimwengu wa mapenzi.

Mfate mwambie unampenda sasa sijui unamtaka for long term or short term?
 
Hivi kutongoza ni:
-kudanganya?
-kushawishi?
-kulaghai?
-kurubuni? AU
-kutapeli?

Kama jibu lipo kati ya hayo maneno hapo juu, basi hiyo ni DHAMBI, na mungu hapendi!!!!!!
Hujaelewa swali. Anataka kujuwa namna ya kutongoza na si kama kutongoza ni dhambi au la.
 
Back
Top Bottom