Wajameni naomba mnipe formula ya kutongoza coz kuna dem mmoja nimefika bei ila ze problem is where to start. Nisaidieni nami niweze kuufaidi ulimwengu wa mapenzi.
Subiria nature itawakutanisha! Hahahaha, ni wapi ulisikia kuna tuition ya kutongoza? This is a natural phenomenon and practical based exercise bwana. Please, you can't have a business unless you are risk taker!Wajameni naomba mnipe formula ya kutongoza coz kuna dem mmoja nimefika bei ila ze problem is where to start. Nisaidieni nami niweze kuufaidi ulimwengu wa mapenzi...
How old are you mwenzetu?
How old are you mwenzetu?
Wajameni naomba mnipe formula ya kutongoza coz kuna dem mmoja nimefika bei ila ze problem is where to start. Nisaidieni nami niweze kuufaidi ulimwengu wa mapenzi......
Anaweza kuwa mwanafunzi na kipindi ndo kimeanza. Tusibiri break time atakuja tenaSijui kaanzisha katopic kake halafu kaingia mtini, sijui yuko kwa ofisi na bosi wake ndo kaingia, sijui hata yuko wapi maskini huyu
Subiria nature itawakutanisha.....!!! Hahahaha...... ni wapi ulisikia kuna tuition ya kutongoza? This is a natural phenomenon and practical based exercise bwana..... Please, you can't have a business unless you are risk taker......!
FirstLady, am no long a baby, heading to 30yrs. Help me before eleventh hour. Au nipe mistari ambayo umilipewa hadi mkatiki
Sijui kaanzisha katopic kake halafu kaingia mtini, sijui yuko kwa ofisi na bosi wake ndo kaingia, sijui hata yuko wapi maskini huyu
Wajameni naomba mnipe formula ya kutongoza coz kuna dem mmoja nimefika bei ila ze problem is where to start. Nisaidieni nami niweze kuufaidi ulimwengu wa mapenzi.
Mfate mwambie unampenda sasa sijui unamtaka for long term or short term?
Namba ya nn shemeji? Wewe una ajenda ya siri.Hebu nipe namba yake....nitakutaarifu akishakubali...
Hujaelewa swali. Anataka kujuwa namna ya kutongoza na si kama kutongoza ni dhambi au la.Hivi kutongoza ni:
-kudanganya?
-kushawishi?
-kulaghai?
-kurubuni? AU
-kutapeli?
Kama jibu lipo kati ya hayo maneno hapo juu, basi hiyo ni DHAMBI, na mungu hapendi!!!!!!
Nipo tayari kwa short au long term. What I need ni kuiona ikulu.FL1...kuna utongozaji wa short term na long term?