Naomba kufundishwa kuandika barua ya uchumba

Karibu sana kuna wana JF wenzetu hapa nimeshasimamia show zao wako kama watatu hivi.. Wakiamua watakuja wenyewe kusema hapa
Hahahaha inabidi waje watupe ushuhuda wa kama kwa mwamposa.
Maana sometime hizi pisi Kali zinatuchanganya, tunaona tuwaachie nyie mtusaidie kwenye ushenga pale
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai..pisi kali ni huku mitaani akirudi home ni ukiwa na upweke
 
Ila muda mwingine kuna upepo mabaya unapita wazazi na mtoto wanakukataaa kabisa wazi wazi, kwamba ujumbe wa maneno hujafika
Ujue ni watata na watakuwa watata hata mbeleni.

Jambo la msingi ni kuwa na mshenga mwenye busara na muwasilishaji wa hoja vizuri zenye mashiko.

Na mara nyingi mshenga mzuri ni yule anayetoka kabila moja na binti na anayewafahamu vizuri hao anaoenda kumchukua mtoto wao. Lakini kama wako kabila moja basi ahakikishe mshenga anawafahamu vizuri hao watu. Mambo yatakuwa rahisi.

Sio wanakuja kwetu huku Mbeya halafu wanatoka na mshenga Dar, watapata shida na pesa itawatoka nyingi mpaka wakome.
 
Hiyo ni kazi ya mshenga wala isikuumize kichwa lakini kama mshenga wako hajui model hii hapa
Anuani yako

Yah: OMBI LA POSA

Husika na somo hapo juu
Mimi mshenga....... Kwa mamlaka na idhini niliyopewa na familia ya ....... Naleta posa kwenu kwa ajili ya kijana wetu ndugu...... Ambaye ana nia ya kumchumbia binti yenu....
Naamini ombi letu litapokelewa vema...
Wen u mshenga

.........jina
.......sahihi
.......tare he

MWISHO

Barua itawekwa kwenye bahasha ndogo nyeupe na juu yake itaandikwa BARUA YA POSA.. ndani yake kutakuwa na barua husika na kiasi chochote cha pesa kulingana na uwezo
Barua husika itafungwa kwenye hanjifu nyeupe

Je unataka na utaratibu wa kukabidhi barua?
Nimeipenda barua.
 
Ahaaaa nimejifunza kitu
 
Hiyo ni kazi ya mshenga wala isikuumize kichwa lakini kama mshenga wako hajui model hii hapa

Anuani yako

Yah: OMBI LA POSA

Husika na somo hapo juu
Mimi mshenga....... Kwa mamlaka na idhini niliyopewa na familia ya ....... Naleta posa kwenu kwa ajili ya kijana wetu ndugu...... Ambaye ana nia ya kumchumbia binti yenu....
Naamini ombi letu litapokelewa vema...
Wenu mshenga

.........jina
.......sahihi
.......tarehe

MWISHO

Barua itawekwa kwenye bahasha ndogo nyeupe na juu yake itaandikwa BARUA YA POSA.. ndani yake kutakuwa na barua husika na kiasi chochote cha pesa kulingana na uwezo
Barua husika itafungwa kwenye hanjifu nyeupe

Je unataka na utaratibu wa kukabidhi barua?
Asije akatuma kwa posta tu :D:D😂
 
Mtafute mlokozi mzee wa kambuzi kako kaliko potea tunako walipoenda kujitambulisha kambini
 
Hiyo ni kazi ya mshenga wala isikuumize kichwa lakini kama mshenga wako hajui model hii hapa

Anuani yako

Yah: OMBI LA POSA

Husika na somo hapo juu
Mimi mshenga....... Kwa mamlaka na idhini niliyopewa na familia ya ....... Naleta posa kwenu kwa ajili ya kijana wetu ndugu...... Ambaye ana nia ya kumchumbia binti yenu....
Naamini ombi letu litapokelewa vema...
Wenu mshenga

.........jina
.......sahihi
.......tarehe

MWISHO

Barua itawekwa kwenye bahasha ndogo nyeupe na juu yake itaandikwa BARUA YA POSA.. ndani yake kutakuwa na barua husika na kiasi chochote cha pesa kulingana na uwezo
Barua husika itafungwa kwenye hanjifu nyeupe

Je unataka na utaratibu wa kukabidhi barua?
Hahahahah duh kwshney
 
Panga kama unavyoandika barua ya kazi, mwaga sera zako kwa ufupi, mpe mshenga apeleke
 
Back
Top Bottom