Naomba kufundishwa haya mambo.

Atoto

Atoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
57,847
Points
2,000
Atoto

Atoto

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
57,847 2,000

Wengine viuno kama tumeweka pop hivyo bora nitulie tu
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
49,190
Points
2,000
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
49,190 2,000
Inaumiza sana, inafaa yatumike sawa na faida za uwepo wake!!
Kuipigia jaramba hivo sio sawa, hicho kichura chura ni kuburudisha macho tu na kushtua mapigo yake ya moyo, yeye anafaa kupewa ile miuno ya paka wa mjumbe, miuno ya feni mbovu, miuno ya gwaji...
 
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Messages
3,937
Points
2,000
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2018
3,937 2,000
Kuipigia jaramba hivo sio sawa, hicho kichura chura ni kuburudisha macho tu na kushtua mapigo yake ya moyo, yeye anafaa kupewa ile miuno ya paka wa mjumbe, miuno ya feni mbovu, miuno ya gwaji...
Basi sawa, maana huku tunakoelekea ntafika mshindo pasipo matarajio yangu,

kuwa na bahati njema ktk hilo unalotaka kufundwa.
 
Atoto

Atoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
57,847
Points
2,000
Atoto

Atoto

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
57,847 2,000
Usijikatie tamaa hivo, mwenyewe nna uno gundi ila napambana hivo hivo
Sasa na uzee huu nikiteguka kiuno matibabu India na hata mia ya kunipeleka huko sina. Bora tu nipambane na hali yangu.
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
49,190
Points
2,000
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
49,190 2,000
Sasa na uzee huu nikiteguka kiuno matibabu India na hata mia ya kunipeleka huko sina. Bora tu nipambane na hali yangu.
Mi ntakikanda tu hata na dawa za kienyeji
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
49,190
Points
2,000
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
49,190 2,000
Shunie mafunzo ni haya, kama una namba ya hao wadada wa mjini naomba tafadhali
 

Forum statistics

Threads 1,307,084
Members 502,332
Posts 31,601,095
Top