naomba kufundisha au kuelekezwa jinsi ya kutumia idm ku download

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
567
400
nimei install lakini jinsi ya kuitumia ndo inanishinda maana ya mwanza nilikua niki play video inakuja na option ya ku download lakini hii ya sasa haina hiyo option sa ninapata shida na kushindwa ku download videoz,tafadhali waungwana naomba mnisaidie hili tatizo,natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu
 
inaonekana ile ya mwanza ilikuwa IDM lakini hii ya dar sio IDM sasa download hii ya dar hapa Download Internet Download Manager: high speed download accelerator baada ya hapo intall utapo fungua you tube itajitokeza na utaanza ku download
 
Nadhani hii mozila ya sasa ndio ina shida na idm.
Niliweka version 4 ya mozila nikawa nikiplay utube nadownload bila shida.
Nimeupgrade kwa version 15 huo uwezo wa kudownload kutumia idm. Nimegundua mozila ndio shida.
kitu nimefanya ni kutumia keepvid.com kudownload bila chenga wala mikwaruzo. usipate shida kudownload tumia hiyo.
 
Back
Top Bottom