sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,524
- 863
Salaam wana JF, jamani kuuliza si ujinga ,naomba nifahamishwe hivi yale mafuta ambayo hutumika ktk masaji yanaitwaje.....? na hupatikana maduka yepi.......? je ndio yale yale ambayo hutumika ktk sex ili kuufanya mwili unone zaidi au ni tofauti.? na kama ni tofauti naomba nayo pia mnijuze yanaitwaje, ( KUPOTEA NJIA NDIKO KUJUA NJIA)