Naomba kufahamu

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Salaam wana JF, jamani kuuliza si ujinga ,naomba nifahamishwe hivi yale mafuta ambayo hutumika ktk masaji yanaitwaje.....? na hupatikana maduka yepi.......? je ndio yale yale ambayo hutumika ktk sex ili kuufanya mwili unone zaidi au ni tofauti.? na kama ni tofauti naomba nayo pia mnijuze yanaitwaje, ( KUPOTEA NJIA NDIKO KUJUA NJIA)
 
nenda pharmacy ukaulize....................au untaka m2 akikwambia anayo aku2mie kwenye PM unaogopa kwenda kununua dukani
 
yanaitwa olive oil
siyo ya sex,ni massage tu
Mafuta halisi ya massage yanaitwa massage lotion na yanauzwa pharmacy lakini pia Olive oil hutumika na kwa soft massage hutumika powder.Mteja huulizwa ungependa kutumia lotion,oil au powder na mhudumu kabla ya massage kuanza.

Swali lako la pili sikulielewa,mafuta ya sex kufanya mwili unone ??
 
ningeshangaa uporoto usingeongea kitu humu
wakati massage parlour zote unazijua lol
sikuuliza kitu.ila huyo muuliza swali
alitaka kufahamu,je mafuta ya massage ndo yanatumika kwa sex?
 
ningeshangaa uporoto usingeongea kitu humu
wakati massage parlour zote unazijua lol
sikuuliza kitu.ila huyo muuliza swali
alitaka kufahamu,je mafuta ya massage ndo yanatumika kwa sex?
Hahaha! mkurugenzi bana haya, massage lotion ni mazito haishauriwi kutumika katika sex hata olive oil sidhani yanafa inabidi apate water based lubricants kama KY jelly ambayo haibadili mazingira ya kule kwa mwanamke.
 
kuna mafuta mazur sana sn kwa mssg gensen yana kifuniko cha njano yaani hayo ndio mwisho wa matatizo
 
Yako mafuta special kwa masage, unaweza kutumia cinnamon oil, lemongrass oil, lemon oil. n.k. Haya unaweza kuyapata ktk maduka ya Spicey shop.
 
Yako mafuta special kwa masage, unaweza kutumia cinnamon oil, lemongrass oil, lemon oil. Almond oil n.k. Haya unaweza kuyapata ktk maduka ya Spicey shop.
 
Back
Top Bottom