Naomba kufahamu sifa za mgombea kiti cha uenyekiti CHADEMA taifa

Shukrani A. Ngonyani

Verified Member
Feb 23, 2014
1,113
2,000
Sio nia mbaya, ni kwa dhamira safi ya kufahamu na kujenga uelewa.

Naomba kufahamu kutokana na katiba ya CHADEMA ni sifa zipi ambazo mgombea kiti cha uenyekiti taifa anapaswa kuwa nazo.

Tafadhali,
Karibu sana!
 
Siyabonga101

JF-Expert Member
Mar 8, 2016
2,430
2,000
Sio nia mbaya, ni kwa dhamira safi ya kufahamu na kujenga uelewa.

Naomba kufahamu kutokana na katiba ya CHADEMA ni sifa zipi ambazo mgombea kiti cha uenyekiti taifa anapaswa kuwa nazo.

Tafadhali,
Karibu sana!
Ni ujasiri na uthubutu wa kuweza kudumu madarakani kwa muda mrefu Kama Rais Mugabe na Rais Museveni.
Jiulize pia Wenyeviti wangapi wamepita CCM tokea hiki Chama chetu cha upinzani pendwa kiteue Mwenyekiti! Ukipata jibu naomba unijulishe mkuu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom