Naomba kufahamu ndege ya gharama nafuu ya kufika Nigeria

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
1,191
1,228
Habari zenu Ba ndugu
Poleni Sana kwa majukum ya hapa na pale,

Ndugu zanguni natambua JF ni kisima cha Elim, ujuzi, maarifa, baraka, neema nk

Lango langu hasa ningependa kutembelea nchi ya Nigeria, mwenye kujua gharama ya Ndege, ya bei nafuu anisaidie anijulishe, minimum cost.
Asante
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom