Naomba kufahamu namna gani naweza kuwa rubani wa jeshi au commando

Umemueleza vzr sn kijana hapo juu ni connection +bahati, komando hua wanachagua kila baada ya depo mbili za recruit kuisha so ikiwa umeenda kupiga kozi ya recruit ya jw then ikawa ndo depo ya pili basi comando hua wanakuja kujinadi pale kwa mbwembwe zao then anayependa ataenda kuandika jina ila wakiona idadi yao haijatimia ndio wanapita na kuchukua watu kilazima utashangaa tu umenyanyuliwa na kuambiwa nenda kule. nina mengi ya kuandika ila muda +uvivu wa kuandika,ila kama mungu alikuandikia kimoja kati ya hvy ulivyotaka basi itakuwa tu.
Inawezekana sana.. tena ni rahisi mno ila Muhimu ni
connection + bahati

Mimi nawafahamu wengi tu ambao wametoka six moja kwa moja wakaenda JWTZ wakapiga kozi nasasa wako vyuoni sehemu mbali mbali duniani na wanasomea kada mbali mbali ikiwemo iyo Urubani, Mambo ya IT nk


NOTE: hii ninayo izungumzia ni program mpya ambayo nadhani zamani haikuwepo.. Na ushuhuda wangu ni intake ambayo wameanza kuchukua 2017 mpk sasa


Narejea tena ni rahisi mno ila uwe na connection + bahati

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bahati tu mzee hamna namna nyingine,kuna dogo nimemsomesha Mimi kwa hela yangu ya kubangaiza,akamaliza form.6 then akenda jkt mujibu wa sheria jamaa wakampenda maaana amesomea masomo ya Sayansi,wakamsajili(recruit).Saivi yupo kozi RUSSIA huko.

5/5
 
Jeshi halina ubaguzi.
Kwanza masomo ya sayansi na hesabu ni muhimu. Physical fitness ni muhimu sana.
Nenda JKT ukimaliza Apply kwenda TPDF.
Ukiwa na bachelor ya enginerring ni bora zaidi.
Mosomo bora ni maths, physics na geogrophy ukiwa O level na A level.
 
Kuna kijana kamaliza form six mwaka jana,kaenda jkt kwa mujibu, kafika chuo tu wiki ya kwanza kaitwa jeshini wamepiga wamemaliza saivi ameshavaa gwanda na juzi aliniambia kuwa kuna wenzao wameshachukuliwa wanaenda nje kusoma sema yeye hakupata bahati ila najua atapata tu maana alikuwa PCM na anaufaulu wa division two ya 10
 
Back
Top Bottom