Naomba kufahamu namna gani naweza kuwa rubani wa jeshi au commando

New Yorker

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
242
250
Habari zenu wakuu!

Husika na kichwa cha uzi. Naomba ufafanuzi wa hayo.

Pia mtu aliyesoma PCB anaweza kuwa rubani jeshini?

Nawasilisha.
 
euca

JF-Expert Member
Apr 6, 2015
2,198
2,000
Habari zenu wakuu!
Husika na kichwa cha Uzi,Naomba ufafanuzi wa hayo.

Pia mtu aliyesoma PCB anaweza kuwa rubani jeshini?

Nawasilisha.
Nenda kwanza JKT ukifanikiwa huko fanya juu chini uingie JWTZ na ukifanikiwa kufika huko basi hayo mambo ya urubani utayapatia hukohuko.pia kama kwenu mboga saba kajiunge na vyuo hv vya urubani vya bongo then Ukipata vyeti vyako nenda jeshini huko ukapambane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mc gregor

JF-Expert Member
Mar 17, 2017
998
1,000
Habari zenu wakuu!
Husika na kichwa cha Uzi,Naomba ufafanuzi wa hayo.

Pia mtu aliyesoma PCB anaweza kuwa rubani jeshini?

Nawasilisha.
Wenzako wako makambini uko hawana mbele wala nyuma wengine wamepoteza miaka kibao jeshini wako zao tu kitaa wamechoka mbaya.
Sikia dogo jeshini sio pa kwenda kipindi iki utajutia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
New Yorker

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
242
250
Nenda kwanza JKT ukifanikiwa huko fanya juu chini uingie JWTZ na ukifanikiwa kufika huko basi hayo mambo ya urubani utayapatia hukohuko.pia kama kwenu mboga saba kajiunge na vyuo hv vya urubani vya bongo then Ukipata vyeti vyako nenda jeshini huko ukapambane.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuu.
 
TRAOMY

Member
Jan 11, 2019
36
125
Wenzako wako makambini uko hawana mbele wala nyuma wengine wamepoteza miaka kibao jeshini wako zao tu kitaa wamechoka mbaya.
Sikia dogo jeshini sio pa kwenda kipindi iki utajutia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
aliyetoa mada akiona atadhania ni kama umekulupuka kumjibu ila umemjibu vizuri short and clear sasa hivi nyakat zimebadilika utatumia nguvu jkt utaludi home utajilaumu mno.
 
mc gregor

JF-Expert Member
Mar 17, 2017
998
1,000
Mkuu hivi huwezi toka f6 ukaunga Jwtz directly?
Unaweza ila lazima upite jkt. Sikia dogo nakushauri zama izi usijaribu kwenda huko utapigika mbaya mwisho wa siku utarudi nyumbani mikono tupu huna chochote zaid ya stress. Kaka zako wako huko makambini wamejazana wengine washarudishwa kitaa hawana future.
Nenda chuo soma kuwa na skills urudi mtaani kupambana hizi sio tena zama za kukimbilia jeshini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mc gregor

JF-Expert Member
Mar 17, 2017
998
1,000
aliyetoa mada akiona atadhania ni kama umekulupuka kumjibu ila umemjibu vizuri short and clear sasa hivi nyakat zimebadilika utatumia nguvu jkt utaludi home utajilaumu mno.
Ujue watu hawajui mambo yamebadilika jeshini saiv sio pa kukimbilia tena ataenyeshwa sana uko jkt alafu arudi mikono mitupu kitaa miaka imeends na stress tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
New Yorker

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
242
250
Unaweza ila lazima upite jkt. Sikia dogo nakushauri zama izi usijaribu kwenda huko utapigika mbaya mwisho wa siku utarudi nyumbani mikono tupu huna chochote zaid ya stress. Kaka zako wako huko makambini wamejazana wengine washarudishwa kitaa hawana future.
Nenda chuo soma kuwa na skills urudi mtaani kupambana hizi sio tena zama za kukimbilia jeshini

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri mzuri.
 
mludego

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
1,287
2,000
Sasa asipoenda tutapataje marubani na makomando

Au hawa huwa hawastafu/kufa?

Yeye ameomba mbinu,mmpe mbinu ama namna kisha toa ushauri wako...
New Yorker Mimi sina namna ya kujua nini watakiwa kufanya ili uweze kufika huko
 
Abuu abdurahman

JF-Expert Member
May 9, 2017
788
1,000
Inawezekana sana.. tena ni rahisi mno ila Muhimu ni
connection + bahati

Mimi nawafahamu wengi tu ambao wametoka six moja kwa moja wakaenda JWTZ wakapiga kozi nasasa wako vyuoni sehemu mbali mbali duniani na wanasomea kada mbali mbali ikiwemo iyo Urubani, Mambo ya IT nk

NOTE: hii ninayo izungumzia ni program mpya ambayo nadhani zamani haikuwepo.. Na ushuhuda wangu ni intake ambayo wameanza kuchukua 2017 mpk sasa

Narejea tena ni rahisi mno ila uwe na connection + bahati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
23,285
2,000
Habari zenu wakuu!

Husika na kichwa cha uzi. Naomba ufafanuzi wa hayo.

Pia mtu aliyesoma PCB anaweza kuwa rubani jeshini?

Nawasilisha.
Kwa rubani Wa jeshi kwa sasa laziima uwe na digrii ya engineering na usizidi miaka 30

Ukomabdoo utachunjwa ukiingia Jeshini .

Hakuna mwanajeshi anayeanza moja kwa moja kama komandoo ukiingia wenyewe watakuona kwenye mafunzo ulivyo watakupeleka
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom