B bonem JF-Expert Member Apr 22, 2015 235 55 Jul 4, 2016 #1 Naomba mnisaidie jamani mambo gani niangalie nikienda kununua laptop nisije kuuziwa kopo aise. Wataalamu fanyeni jambo tafadhali maana naenda kununua kesho tu.
Naomba mnisaidie jamani mambo gani niangalie nikienda kununua laptop nisije kuuziwa kopo aise. Wataalamu fanyeni jambo tafadhali maana naenda kununua kesho tu.
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 30,690 39,753 Jul 4, 2016 #2 vitu vya kuangalia kwenye laptop ni vingi una budget kiasi gani? unataka kufanyia mambo gani?
B bonem JF-Expert Member Apr 22, 2015 235 55 Jul 5, 2016 Thread starter #3 Kwa matumizi yangu binafsi tu. Bajeti ya kama laki nne hivi
fredymkanza JF-Expert Member Jun 19, 2016 284 152 Jul 5, 2016 #4 Proccesor Hard disk Ram Aina ya laptop
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 30,690 39,753 Jul 5, 2016 #5 hupati mpya kwa laki nne hapo labda used
the great wizard JF-Expert Member Dec 21, 2015 1,482 882 Jul 5, 2016 #6 bonem said: Naomba mnisaidie jamani mambo gani niangalie nikienda kununua laptop nisije kuuziwa kopo aise. Wataalamu fanyeni jambo tafadhali maana naenda kununua kesho tu Click to expand... Aina ya laptop Processor Ram Hard disk
bonem said: Naomba mnisaidie jamani mambo gani niangalie nikienda kununua laptop nisije kuuziwa kopo aise. Wataalamu fanyeni jambo tafadhali maana naenda kununua kesho tu Click to expand... Aina ya laptop Processor Ram Hard disk