Naomba kufahamu mambo ya kuzingatia nikitaka kununua laptop

Status
Not open for further replies.

bonem

JF-Expert Member
Apr 22, 2015
235
55
Naomba mnisaidie jamani mambo gani niangalie nikienda kununua laptop nisije kuuziwa kopo aise. Wataalamu fanyeni jambo tafadhali maana naenda kununua kesho tu.
 
vitu vya kuangalia kwenye laptop ni vingi una budget kiasi gani? unataka kufanyia mambo gani?
 
Kwa matumizi yangu binafsi tu. Bajeti ya kama laki nne hivi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom