Fight ClimateChange
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 294
- 261
nimekuwa nikijiuliza maana ya maneno :Kambi rasmi ya upinzani bungeni: nataka kufahamu mantiki ya neno rasmi katika sentensi hiyo. maana nijuavyo mimi neno "rasmi" ni kivumishi ambacho kwa taratibu za sarufi ya kiswahili kuna kinyume chake.
vipi kuna kambi isiyo rasmi huko bungeni kwetu?
naomba kujuzwa
vipi kuna kambi isiyo rasmi huko bungeni kwetu?
naomba kujuzwa