Naomba kufahamu kuhusu tatizo la mtoto kutozungumza mapema

Ni mtundu sana anapanda sana hadi anaweza kupanda kwwnye miti, anapiga watoto wwnzake kila mara. kashaniharibia vitu kibao vya ndan kwa kuvichezea.
Amechangamka na anafuraha kila wakati. In short anapenda michezo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi ana concentrate akifanya Mambo yake? Yaani akiwa nachezo wake anaoucheza au Jambo analolifanya anakua na concentration? Au ndo vile anacheza na hiki mara kashik hiki mara kakimbia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi ana concentrate akifanya Mambo yake??? Yaan akiwa nachezo wake anaoucheza au Jambo analolifanya anakua na concentration???? Au ndo vile anacheza na hiki mara kashik hiki mara kakimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina tegemea na michezo aichezayo, Kuna wakati ana-concetrate na kuna wakati mwingine hatulii mara kashika hiki mara kile
 
Mimi binafsi nna mtoto wa kiume miaka 3 kasoro hajaweza kuongea maneno kama Baba Mama Kaka kuna wakati anazungumza ila Ukimuita haitiki Nmejaribu kumpeleka Hosptali wananiambia ana tatizo la Autism naomben Ushauri Kwa mtu anaelijua Hilo tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi binafsi nna mtoto wa kiume miaka 3 kasoro hajaweza kuongea maneno kama Baba Mama Kaka kuna wakati anazungumza ila Ukimuita haitiki Nmejaribu kumpeleka Hosptali wananiambia ana tatizo la Autism naomben Ushauri Kwa mtu anaelijua Hilo tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakwetu pia ana tatizo Hilo Hilo. Huwa tunampeleka hospital kwaajili ya training tofauti tofauti. Ushauri tuliopewa sisi Ni kuwa tumuandakie daily routine ya kufata icho ndio cha kwanza cha muhimu.

Usijali atakuja kutamka ayo maneno kama baba mama na kadhalika ila ukitaka aweze mapema mtafutie wataalamu ili wakufundishe jinsi ya kumsaidia mwanao. Sisi wakwetu mpaka anatimiza three years alikua hajui kujisaidia iwe ni haja kubwa au ndogo ila imesaidia sasa ivi anaenda choo mwenyewe anafanya shughulu zake mwenyewe hata home work ya shule kuna muda akijisikia anafanya mwenyewe bila usimamizi. Usikate tamaa atakaa vizuri tu.

Unajua kama mzazi ukisikia mwanao anatatizo fulani inakuwa inaumiza Sana na kufikirisha kesho yake itakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakwetu pia ana tatizo Hilo Hilo... Huwa tunampeleka hospital kwaajili ya training tofauti tofauti.... Ushauri tuliopewa sisi Ni kuwa tumuandakie daily routine ya kufata icho ndo Cha kwanza Cha muhimu... Usijali atakuja kutamka Ayo maneno Kama baba mama na kadhalika ila ukitaka aweze mapema mtafutie wataalamu ili wakufundishe jinsi ya kumsaidia mwanao.... Sisi wakwetu mpaka anatimiza three years alikua hajui kujisaidia iwe Ni haja kubwa au ndogo ila imesaidia Sasa ivi anaenda choo mwenyewe anafanya shughulu zake mwenyewe hata home work ya shule Kuna mda akijisikia anafanya mwenyewe bila usimamizi..... Usikate tamaa atakaa VIZURI tuu...

Unajua kama mzazi ukisikia mwanao anatatizo Fulani inakua inaumiza Sana na kufikirisha kesho yake itakuwaje??.... Samahani Mimi sio mwandishi mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Qurie kumtengenezea mtoto daily routine itachangia mtoto awe na maendeleo mazuri?
Nataka nifate huu ushauri wako nione kama itanipa matokeo chanya
 
Qurie kumtengenezea mtoto daily routine itachangia mtoto awe na maendeleo mazuri?
Nataka nifate huu ushauri wako nione kama itanipa matokeo chanya
Kwetu imesaidia sanaaa...... Alafu pia pendelea kutaja majina ya vitu ili aweze kujua (yaan sijui niseme vipi????l))) kwa mfano labda ili uweze kumtuma akuletee chochote kile kilichopo ndani inabidi akijie icho kitu kwa jina na mahali kinapokaaa.... Ngoja nikupe mfano huu labda umefika wakati wa kuoga muambie flani (kwa kumtaja jina) TWENDE BAFUNI TUKAOGE...usivutane nae mshike mkono mtembee kirafiki mpaka huko BAFUNI... Ukifika muambie vua tishirt hapa inawezekana hajui kuvua mwenyewe unamshikisha mikono kwenye t-shirt ili ajue hi ni tshrt na kwenye kuvua kea kuanza unamsaidia ila Kama anaweza unamuacha avue mwenyewe then utakuja kumuambia tuvue suruali unamshikisha mikono yake kwenye suruali mnavua yaan usiwe na haraka baada ya hapo unamuambia tunaoga chukua sabuni Kama haijui unamuonesha sabuni hi hapa na unataja SABUNI SABUNI kwa kurudia rudia ili imsaidie kujua vitu then mnaendelea kujimwagia maji pia mkimaliza Sasa mnaenda chumbani hapa Kama umemtengenezea routine atakua anajua mahali taulo lake linakaa utamuona yeye mwenyewe anafata taulo anakupa umfute maji au anajifuta mwenyewe then kwenye nguo ivyo ivyo unamuambia leta kitu flani ( yaan sijui niseme vipi Mimi sio mwandishi mzur ila I hope unanielewa japo kidogo)...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangu pia ni wa kiume, mama yake ndo kampeleka hospital asubuhi hii kufanyiwa uchunguzi ndo nasubiria taarifa wakirudi
Wetu pia Ni baby boy... Tulichelewa kujua tatizo lake tulijua labda ana udata ( kilimi) lakini kumbe sio tulimpeleka mpaka kea daktar watoto lakini Bado hatukujua tatizo tumehangaika weee mpaka Basi ila ndo ivyo dakika za mwisho ndo tukajua Nini mbaya na angalau imesaidia Sanaa sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtengenezee routine kwamba kila asubuhi akiamka kitu Cha kwanza Ni kwenda chooni ethier kupupu au vyote.... Akitoka hapo akafate mswaki mahali unakaa kwa mwanzoni mtakua mnaenda wote then at pick mswaki wake a dawa ataenda kupiga mswaki akimaliza Ni kiugo then maybe chai nani ivyo......

Na ili kumsaidia ajue vitu inabidi vitu muwe mnamtajia kwa majina kabisa hii itasaidia hata kama Hana tatizo lolote lile itamsaidia tuu kujua vitu vya humo ndani kwa majina

Kuhuyu kujisaidia, anafuata poti yeye mwenyewe na anakojoa bila kujikojolea.
Na anafahamu miswaki inapokaa na anaufahamu mswaki wake bila kuchukua wa mwingine.
Na kuhusu uchunguzi wa kidaktari leo, wamesema hana tatizo lolote
 
Kwetu imesaidia sanaaa...... Alafu pia pendelea kutaja majina ya vitu ili aweze kujua (yaan sijui niseme vipi????l))) kwa mfano labda ili uweze kumtuma akuletee chochote kile kilichopo ndani inabidi akijie icho kitu kwa jina na mahali kinapokaaa.... Ngoja nikupe mfano huu labda umefika wakati wa kuoga muambie flani (kwa kumtaja jina) TWENDE BAFUNI TUKAOGE...usivutane nae mshike mkono mtembee kirafiki mpaka huko BAFUNI... Ukifika muambie vua tishirt hapa inawezekana hajui kuvua mwenyewe unamshikisha mikono kwenye t-shirt ili ajue hi ni tshrt na kwenye kuvua kea kuanza unamsaidia ila Kama anaweza unamuacha avue mwenyewe then utakuja kumuambia tuvue suruali unamshikisha mikono yake kwenye suruali mnavua yaan usiwe na haraka baada ya hapo unamuambia tunaoga chukua sabuni Kama haijui unamuonesha sabuni hi hapa na unataja SABUNI SABUNI kwa kurudia rudia ili imsaidie kujua vitu then mnaendelea kujimwagia maji pia mkimaliza Sasa mnaenda chumbani hapa Kama umemtengenezea routine atakua anajua mahali taulo lake linakaa utamuona yeye mwenyewe anafata taulo anakupa umfute maji au anajifuta mwenyewe then kwenye nguo ivyo ivyo unamuambia leta kitu flani ( yaan sijui niseme vipi Mimi sio mwandishi mzur ila I hope unanielewa japo kidogo)...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wangu hayo yote anayaelewa, ila tatizo ni kwenye kuongea tu. Ulimi wake ndo mzito japo maneno anayoongea yanaeleweka kwa kumsikiliza kwa umakini
 
Kuhuyu kujisaidia, anafuata poti yeye mwenyewe na anakojoa bila kujikojolea.
Na anafahamu miswaki inapokaa na anaufahamu mswaki wake bila kuchukua wa mwingine.
Na kuhusu uchunguzi wa kidaktari leo, wamesema hana tatizo lolote

So usiwe na wasiwasi

Unajua huku mtaani kuna Mambo mengi, tunataka watoto wote waende sawa, kumbe kila mtoto ana makuzi yake, ili mradi kuna maneno anasema basi tulizana atakuja kuongea vizuri. Shule mpeleke atajifunza kuongea huko.

Wangu ana 3.7 naye alichelewa kuongea kulinganisha na mazoea ya mtaani...wakaanza hivyohivyo ohoo kachelewa ..mpe mwiko sijui.. ...maneno mengiii wala sikuwa na wasiwasi ili mradi neno baba , mama, dada na majina ya watu wa karibu alikuwa akitaja nikaona hana shida na uongezi...ila alikuwa Kama na kisembe.....wewe umeita kithethe...siku moja nilikuwa hospital nje Kuna dk mtu mzima alipita akampa hongera ya kupendeza nikamwambia aseme asante akaitamka athante...Dr akasema ana kilimi sijui ugata lkn akanambia nisiwe na wasiwasi kuwa itaondoka kadiri anavyokuwa. Naona hata mwaka haujapita anasema asante vizuri.

Nilimpeleka shule akiwa na 2.2 amekutana na wenzie anaongea maneno mengi sasa.

Ondoa hofu with time ataongea vyema

Asante sana kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom