...naomba kufahamu kuhusu rank na ubora kati ya medicine ya tanzania na urusi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

...naomba kufahamu kuhusu rank na ubora kati ya medicine ya tanzania na urusi...

Discussion in 'International Forum' started by IzeGREAT, Apr 17, 2012.

 1. IzeGREAT

  IzeGREAT Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  ..Kwa muda mrefu nimekuwa nikiskia uvumi ya kwamba wanafunzi wa MD wanaosoma UDSM ni bora na wako njema zaidi katika field ukilinganisha na Tanzanians-Russian MD graduates,sina ushahidi wa kutosha mimi binafsi sabu sijawahi kukutana na Daktari yeyote wa Tz akaniambia hivyo uso kwa uso,ila nimeamua kuuliza swali hili kwa wenye dataz na infoz wanijulishe baada ya rafiki yangu mmoja kunihakikishia kuwa yeye alishatamkiwa hivyo alipokuwa akipiga INTERN-TEMEKE HOSPITAL(..na huyu denti ni division ONE KUTOKA SPECIAL SCHOOL KABLA HAZIJAFUTWA..),ila cha kunishangaza na ambacho sikielewi ni kwamba kwanini Tz ilisomesha na inaendelea kusomesha MADAKTARI wengi sana RUSSIA..??

  Kama kuna ukweli wowote juu ya hilo,naomba mnisaidie kunipatia
  1) Sababu za Tz-Russian MD graduates kupafom poor kazini.
  2) Sababu za nini kifanyike kwa waliosoma MD-Russia kuongeza quality yao kiutendaji.
  3) Sababu za Tz-government kuendelea kupeleka MD-students Russia.
  4) Concrete dataz zinzoonesha Tz inawazidi vipi Urusi katika fani ya elimu ya Udaktari.

  Kama ni uongo na uvumi tu,ni nani alianzisha kiasi hii dhana iwepo kwa Tz-MD wengi mpaka leo???
   
 2. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,705
  Likes Received: 2,388
  Trophy Points: 280
  tumia logic ya kawaida tu kuwa
  1 Rusia ni taifa lililoendelea kuliko sisi, kiuchumi na taaluma kaw hiyo si rahisi kutoa taaluma mbovu.
  2 tafuta ushahidi kama kweli wanaperform vibaya makazini kinyume cha hapo itaendelea kuwa ni uvumi kama uulivyodokeza awali.
  3.Sababu ni wako juu kitaaluma na low cost effective ukicompare na mataifa mengi yaliyoendelea.
  4. hakuna kitu kama hicho.
  Ni trend ya kawaida ya Watanzania (wanataaluma na mbumbumbu) kufanya uvumi kwa muda mrefu na baadaye wao wenyewe kuanaz kuuamini hadi kufikia pahala wakasahau kuwa wao ndio waanzilishi wa uvumi huo
   
 3. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Tatizo nililosikia kwa wadau waliosoma MD Russia na China sina uhakika kama na India pia kuwa wenyewe huwa hawaruhusiwi kumtibu mgonjwa moja kwa moja kwenye masomo yao bali huwa wanabakia kuwa observers tu,nadhani hilo kwa namna fulani linawaathiri kiutendaji wanaporudi bongo kufanya kazi!Lakini sina doubt na quality ya elimu inayotolewa na nchi hizo!!Ngoja tusubiri wadau watupe data zaidi!!
   
 4. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huu ni uvumi tu,na kutaka kikitetea kitu cha nyumbani ila hatuwezi kulinganisha graduate wa MD wa tz na Russia hata kidogo,kwanza wako juu kwa medical equipment, teaching materials na research.bongo hapa hukawii kusikia mara kipimo hiki kimekufa mara kile yani sisi bado ndugu yangu,kwa hali ya kielimu kwa mataifa yaliyoendelea ipo juu sana
   
 5. IzeGREAT

  IzeGREAT Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  ...kwahilo nakubaliana nalo,sabu mi pia sipo Tz,nchi karibu nyingi zilizoendelea,iwe EUROPE,USA,RUSSIA,etc kwa mwanafunzi wa Degree kupewa mgonjwa wa kumtibu ni imposible,ila kinachofanyika ni kupewa mgonjwa ambaye utatakiwa kutoa ripoti yake inform of CASE HISTORY,yenye ful stori ya mgonjwa wako(i.e up to DIAGNOSIS NA TREATMENT PLAN YAKO),siku ya pepa utaidifendi,hii ni kwasababu wenzetu wana Madaktari wengi nazani,na hii si kwa wageni tu,hata native students mnasapitia same things...
   
 6. IzeGREAT

  IzeGREAT Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  ...Mkuu 124 ali,thnx4ur gud explantions,nilijaribu ku2mia logic kama ulivosema,ila kichwa kikaishia kuniuma sabu mpaka sasa sipati uwiano wa ukweli huo kama utakuwepo,labda kama kuna graduates halisi wanaopractice Tz frm Russian-MD skulz wata2patia ukweli zaidi wa mambo ulivyo..
   
 7. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  wanafunzi wanaotoka nje wengi hawako patient oriented kwa sababu ya sera za huko. Wana shule vichwani ila kuitranslate na kitu anachokiona inakuwa ishu. Wengi hawahusiki kwenye simpo procedures sasa wakija huku wewe ndo wewe na mgonjwa ko ndo hapo wabongo tunawapiga bao kwani tulishaanza kujifunzia wagonjwa toka fourth year. Pia kuna magonjwa huku ni common huko hayapo na guidelines za treatment ni tofauti. Kama unatoka nje fanyia intern mnh ili ubadilike from sophisticated to manual zaidi. Huko kwingine utaumia sana mpaka utakapozea siyo leo. Otherwise shule ni ile ile na brain zetu ni zile zile za sengerema
   
 8. bona

  bona JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  nadhan huu ni uzushi usio na kichwa wala miguu huwezi linganisha taaluma ya urusi na nchi yoyote ile afrika wako juu sana ni ule uvumi kama eti degree ya pass mlimani ni sawa na first class ya mzumbe au chuo kingine, nadhan ndio umetufikisha hapa tulipo, kuhusu eti hawaruhusiwi kutibu wagonjwa so hawana experience kwenye field pia ni uzushi kwani sio kila mwanafunzi anatibu tu mgonjwa hata hapa kwetu si hivyo kuna stage then eventually utatibu mgonjwa kamili ndio baadae ugraduate!
   
 9. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
   
 10. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Moscow Medical Academy (MMA)
  MMA is the oldest and largest medical higher educational institution in the Russian Federation. It is also rated highly in the international league table, achieved second place amng the best medical universities in the world, according to the international rating by the UNESCO and World Health Organization (WHO). There are about 9,000 students from Russia and overseas study at the Academy every year. It offers the following educational programs:
  • Doctor of Medicine
  • Master of Pharmacy
  • Doctor of Stomatology
   
 11. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nafikiri kuwa Dr. mzuri ni swala la kuutumia muda wako katika mazingira uliyopo,NI VIZURI KUJUA FUTURE YAKO.

  Anywhere,if ure a smart student pssibly u will be a good Dr.If ure smart ur profs will trust u and u can do wonders,mbona kuna wanafunzi wanafanya operation Cuba?,ambapo asilimia kubwa ya wananchi ni madr.?

  THINK POSITIVELY AND ACHIEVE THE BEST .
   
 12. Higash

  Higash JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  sio uvumi mkuu, hao jamaa waliosoma urusi ni wabovu sana nafkr kwa sababu ya exposure.
   
 13. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kamwe huwezi kulinganisha ubora wa elimu ya Russia na nchi masikini kama yetu.Kwa mtu mwenye akili timamu asingeuliza hata swali kuhusu ubora wa wahitimu wetu wa mfumo wetu na wale wa nje.Ndio yale yale ya kulinganisha ubora wa elimu na ugumu wa elimu...elimu yetu ni mbovu ndio maana wasomi wabovu-madaktari,wanasheria,wanauchumi,walimu.
   
 14. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  urusi wapo deep sana , huwezi kuwafananisha na wabongo. Unataka kufananisha mavifaa waliyonayo warui kwenye hospital zao na hospital za mbeye na temeke? Its just a simple logic .
   
 15. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tanzania kwa kupenda comedy hatujambo!Hata kwenye suala ambalo the facts speaks for themselves tunaleta uswahili na porojo.
  Utalinganisha Urussi na Tanzania?Tunatumia vitabu vya hao tunaosema tunawazidi uwezo,kama tunawazidi uwezo kwani tusitumie vitabu tulivyotunga wenyewe vyenye ubora wetu?
  Hoja kwamba wao wanakosa exposure ni kitoto sana na siamini kama mtu aliyevuka kidato cha nne anaweza kuitoa.Wenzetu wako mbele kwenye Research and development ndio maana pamoja na kwamba hawasumbuliwi sana na malaria na UKimwi bado wanaongoza vita ya kutafuta kinga na tiba ya magonjwa hayo
  Ndio yale yale ya kusema elimu yetu ni bora kuliko ya Uganda,Kenya na hata India ilhali tunatumia vitabu vyao huku vyetu vikiona ni takataka za kukariri maswali ya NECTA!
   
 16. IzeGREAT

  IzeGREAT Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  ...nawapata fresh wakuu lonestricker@Salanga@i pad3@MkamaP for ur positivity,and also Navy SEAL thnx4ze chalange and speaking ur mind,We ar here to find ze truth and try2build for ze better of our Tz....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Tai Ngwilizi

  Tai Ngwilizi JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Russia na India sijui, ila China hand on zinaanza mwaka wa tatu na walio kwenye internship wanatibu wagonjwa moja kwa moja. pia kuna technologia ya hali ya juu, dawa za uhakika, vitendea kazi vipo wakati wote na madaktari wa kule ambao ndio wana wafundisha na kuwa supervise wanafunzi ni wazuri tu, watu hawafi hovyo hovyo mahospitalini kwa magonjwa ya kipuuzi kama kwetu.

  kwa mtazamo wangu hatuwezi kusema daktari au mwanafunzi wa udaktari anayefanya kazi/kujifunza katika mazingira magumu yenye uhaba wa madaktari, dawa, vitanda, technolojia za kisasa etc ni bora kuliko yule aliye na hivyo vyote.
   
 18. darison andrew

  darison andrew Member

  #18
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukweli unabaki hivi kuwa dakitali aliyesoma urusi amefundishwa vizuri sana vitendea kazi vinapatikana bila shaka wala wasiwasa si hapa nchini hamna hata teaching hospital hata moja then mseme kuwa wa hapa ni bola ilihali ukimuuliza kama amewahi kuona IMRI NA NI GRADUATE ATAKUMBIA HAKUWAHI WENZETU AT THE BEGINING WANAJUA KWA HIYO BADO TUKO NYUMA VITENDEA KAZI SHIDA KINCHOZUNGUMZWA HAPA LABDA PRACTICES AMBAZO WABONGO WANAJISHUGHULISHA NAZO HATA KAMA HAWAJUI KWANI WENZETU MWANAFUNZI HARUHUSIWI KUGUSA MGONJWA HADI AMALIZE MASOMO YAKE
   
 19. S

  Silicon Valley JF-Expert Member

  #19
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 554
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  Jamani swala ni effectiveness na outcome/impact kazini KATIKA MAZINGIRA HUSIKA(YETU YA TANZANIA) ya wahitimu wa russia vs wahitumu wa tz, Among the factors ni practice, Instuments /tools/equipments, level of technology used, regulations, culture etc, maslahi n.k. nadhani yawezekana kabisa tz MD wakienda Russia ku-practice wasi deliver efficiently like wise Russia MD wanapokuja Ku-practice hapa TZ hawataweza kuwafikia wezio waliopo hapa kuanzia kusoma, internship, n.k Kwa fikira zangu Yawekana ni ukweli na sio UVUMI na wala sio swala la ku-compare technology , Development, au wealthness ya hizo nchi mbili. Kwani hajawahi ona qualified engineer anashindwa kazi (kuchonga concrete rungu) an ordinary practioner/technition ana fanya vizuri zaidi ?
   
 20. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #20
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Lakini naweza kushawishika kukubaliana na mtoa maada kwa mazingira yake. Lakini hii halihusiani sana na masomo ya darasani bali mazingira aliyosomea.

  Nitatoa ushuhuda
  Mie sijawahi kusoma biology nimesoma technical toka secondary , lakini tukiwa ktk nchi fulani ulaya huwa kuna wakenya wanakuja kukimbia kwa msimu wanarudi, basi mkenya mmoja akauugua wakampeleka hospitali waganga na watalaamu na mashine zao wakijikusanya wakamfanyia uchuguzi hawapati kitu, siku mbili zimepita wanakuna kichwa jamaa yupo hoi na uhoi unazidi, rafikii yangu mwingine mkenya akanichukua twende tukamcheck jamaa, kukuta jamaa wa njano tukawaambia madaktari huyu either ni yellow fever ama malaria, walivyompima wakakuta na yellow fever.
  Lakini madaktari walikuwa wamejikita sana kwenye ini, kuchunguza. Hivyo sisi tukawa tumegundua gonjwa japo sio madaktari lakini ni kutokana na mazingira tuliyokulia.

  Hivyo Daktari aliyesoma Tz kwa kuona magonjwa hayo hayo kila siku ni rahisi kuyang'amua mapema wenda kuliko wa ulaya kwa sababu wa ulaya amefanya na kusoma ktk magonjwa tofauti kabisa.
  Mfano, Unaweza somaulaya na kufanya kazi miaka mingi ya kutosha lakini hujawahi kukutana na mgonjwa wa malaria, sasa wakikushusha moja kwa moja pale bongo kwa mentality za kibongo utaonekana hujui.

  Udaktari naufananisha kwa mbali na watu waliosoma sheria, nafikiri huwezi chomoka na sheria yako ya tz ukaenda moja kwa moja kudefend kesi tuseme us, ili ufanye hivyo itabidi wakupe mda upate kuzipitia sheria za nchi husika, vivyo hivyo kwa madaktari kama umesoma ulaya kwenye msisitizo wa magonjwa tofauti itabidi wakupe mda ili kuweza kwendana na magonjwa ya nyumbani, sasa huu mda wa mpito ndo wanaonekana hawajui,LAKINI kwa mentality za kibongo.
   
Loading...