Naomba kufahamu kuhusu Mweka Wildlife College

Annonjasonritte

New Member
Oct 5, 2021
4
4
Hivi masomo ya MWEKA wildlife college hasa Bachelor ya Wildlife Tourism ipo adje naombeni mnipe hata intro ya chuo kipoje na masomo yake kabla sijaenda

Watu wa Mweka wildlife chuo kipo vip mnanishauri niende
 
Kuna chuo kinaitwa mwiba tourism kipo Arusha kama unataka maswala ya utalii pale ndio penyewe ukiweza kuhitimu hapo hakuna kitakachokushinda kwenye maswala ya utalii utaweza ku guide popote pale duniani ila inabidi uwe mbishi sana maana wengi wakata tamaa kutokana na field zinazofanywa na chuo hao wanafunzi wenyewe wa mweka ukiwachukua kumi alafu umchukue mwanafunzi mmoja wa mwiba hawatamweza nakushauri kwa elimu bora ya utalii ni mwiba college.
 
Back
Top Bottom