Naomba kufahamu kuhusu ajira za Jeshi la Polisi zilizotoka tarehe 25 June 2018

kese

Member
Jun 4, 2015
39
19
Naomba kama kuna mtu anafahamu hizi ajira za jeshi la polisi zilizotoka tar 25 june 2018 deadline ilikua tar 1 july 2018.zikasitishwa je! zimetangazwa tena?
 
zile ni za vijana wa Jkt tu na wameshafanya usahili ila bado hawajaenda kuanza mafunzo
 
Naomba kama kuna mtu anafahamu hizi ajira za jeshi la polisi zilizotoka tar 25 june 2018 deadline ilikua tar 1 july 2018.zikasitishwa je! zimetangazwa tena?
Bado hazijatangazwa tena.
 
Washaenda kozi na simu wameshazima Jana au juzi ndio walikuwa wanamalizokia kuripoti chuoni MPA
 
Kuna mwenye update yeyote ya walioomba AJIRA POLICE mwaka 2021
IMG-20210905-WA0012.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom