Naomba kufahamu kazi ya Shanga na Cheni za kiunoni

Shanga avae mtoto mwembamba slim flani hivi au yeyote mwenye umbo la kati sio mnene sio mwembamba ndio zinanoga sio ukute jitu bongeeee halafu linavaa shanga,inakuaga kama mzigo wakuni uliofungwa kamba unasubiri kubebwa.
😂😂😂😂
 
Je, hizi shanga na chain za kiunoni kazi Yake Nini hasa..au Ni urembo TU..

Je, zikivaliwa huwa zinahamasisha Jinsia me?..

SHANGA-nahisi ni uchawi
CHENI-ni urembo tena ukute mdada kavaa ya Gold
hazihamasishi chochote kwa upande wangu,mdada akivaa hayo mashanga namuona kama mganga wa kienyeji
 
Je, hizi shanga na chain za kiunoni kazi Yake Nini hasa..au Ni urembo TU..

Je, zikivaliwa huwa zinahamasisha Jinsia me?..
Kwa sisi wazeee, enz za ujana wanawake zetu walivaa kwa utofauti wa aina na wingi wake,mfano akivaa shanga kuanzia 6... Huyo anahitaji akuridhishe mwanamme...kwahyo kajiandaa kukukatikia miuno na Masham masham ya kukulegeshea kiuno mpk utaje password ya ATM na ulipoficha hati za viwanja huko...ila akivaa shanga mbili au moja basi, hayuko okay amechoka ila anahamu...so kazi kwako mwanamme kumshughulkia na aridhike.....(kukojoa).. Ila kama hajavaa basi ujue atakupa kama ukiomba ili usichepuke(akupe tu haki yako ya ndoa ny*ge zikuishe)...

Mengie kuhus rangi ya shanga,vitambaa/viremba na rangi ya shuka watakuja kujazia wengine wazee wenzangu....wajukuuu zangu
 
Kuna vitu vinavutia kuvitazama ila havina mchango kwenye tendo. Mfano tko kubwa au kifua mchongoko. Ukianza kupump na kuroll utajikuta unasahau kuchezea tena hizo shanga hii yote ni kwakua shimo baya ni la nyoka tu haya mengine tunaishi nayo.
Shanga zinaparazwa taratibu mgongoni kpnd cha kumuandaaa ke
 
Ukishamaliza kumuandaa utazipalaza tena saa ngapi?
Hahahahahhah mwsho wa matumizi...(Nyongeza ukiona mdada kavaa shanga nyingi alaf mko part ujue baada ya hapo anaenda kumtunuku mtu na kama mke wa MTU,basi anachepuka na MTU anaempenda sanaaaaa na kama anavaa mda wote hadi kazi kila siku ujue....

Mali ya wengi..(Wadada wa sikuizi kwa kuvaa mashat mafupi hayafiki kiunoni basi wakikaa shanga zinaonekana na vijinz vyao)
 
Sijisumbui kwa lolote lile saizi nabaki kama nilivyozaliwa No shanga no what wanaume hawana shukrani kuchepuka kwenda mbele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom