Tetesi: Naomba kufahamu kampuniI zq mabasi yaendayo Sumbawanga kutokea Dodoma

CHIBE BOYS

Member
Apr 20, 2019
91
118
Kesho nasafir kwenda Sumbawanga kutokea hapa dodoma
Naomba kufahamu nipande basi gan la semi luxury ili niaipoteze nauli yangu kwenye basi zenye karaha
 
Hakunaa...bus la moja kwa moja...pandaa mabas ya mbeyaa.utafikaa jion kama saa 11 hv..af utachagua mwenyew km utaunganishaa àu utalala..kwa midaa ya jion nadhan luna gari moja ya mwisho inaondoka saa 12 mby jion kwenda swang
 
Panda Ilasi ina route ya Dodoma Tunduma. Then unga na gari za Sumbawanga either za kuanzia Mbeya, Tunduma au dandia za kutoka Dar.
 
Panda Kimbinyiko inayoenda Mbeya,ukifika pale lala,kesho nenda S'wanga.Usipande magari ya hovyohovyo,utafika ukiwa umechoka sana.Wasalimu ndugu zangu huko.
 
Back
Top Bottom