Naomba kufahamu hoteli nzuri Songea na usalama wa mji

Ndama dume

JF-Expert Member
Nov 1, 2019
858
1,480
Ndama dume leo mida ya saa 2 usiku natarajia kutia timu Songea mjini, naomba kufahamishwa Hotel nzuri zipo wapi bajet yangu elfu 60000/= kushuka chini na vipi kuhusu mji usalama na mengineyo pia.

Karibuni kunipa mawili matatu
 
Ok, Nenda Ugabe hotel ipo karibu na stand kuu pale Bei haizidi 40,000.
Au Kuna lodge inapakana na jengo la tanesco( karibu na NMB.
Hapo Ni katikati kabisa, misosi utasogea hapo mtini( dakika 3 tu toka hiyo lodge)
 
Back
Top Bottom