kibali
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 504
- 421
Bado kubali kuwa umekuwa rude, sijaona kosa lake alipokuuliza kama wanatumia bima au laa! Ilikuwa kumpa jibu simple tu, ndiyo au hapana au kumuignore kabisa.Mkuu kuna maswali yanakera sana, mtu mhitaji Hana maswali Mengi. Sikutegemea maswali mepesi kiasi hicho.
Nipo sahihi kwa majibu niliyompa Kuna Wakati mtu Akiwa na bima anahisi hahusiki kulipa cash. (Kitu ambacho siyo kweli)
Halafu pia swali lake ni kujua hospital ya watoto, Sasa kuhusu gharama angejua akifika, Gharama zinabadilika kila uchwao.
Pia kwa MZAZI ukifika mahali mtoto anaumwa usihoji Sana maswala ya Bima, Kimbilia AFYa ya mtoto wako kwanza.
Mimi Nina Bima Ila Kuna hospital nilifika kumuona Specialist ni 50,000/= Bima yako unaweka Pembeni kwanza.
Kwa hiyo maswali anayouliza ikiwa amembiwa gharama zake ni rafiki nadhani ilitosha kujua hawatumii bima.
Again hukuwa considerate watu wanatofautiana uwezo, hivyo umemuhukumu sana.
Pole kama nitakukwaza.