Naomba kufahamu hili wapendwa

luckers

Member
Jan 6, 2013
64
2
Habari wakuu,

Naitwa Lucas nko mkoa wa Mara naomba kuuliza na kufahamu kuhusu hili.

Nimesikia kuna watu wanadeal na kutoa tresures(hazina za wajeruman) sasa mimi kunasehemu nimefika nikakuta vitu hivyo hasa kuna sehemu nyingi tu moja wapo nilikuta sanduku ila kulifungua nilishidwa kuchukua msumeno kukata msumeno ulinatiapo mpaka leo upo na pengine nimechimba nilikutana na fedha za zaman na sasa kuna alama za vuma na mafiga matatu ila sehemu hiyo haibomoki.

NAOMBA msaada ni wapi naweza kuwapata watu wenye utaramu huo wa kutoa na kukafaidika n sisi kwa mali zetu zilizofichwa.

Asanten sana
 
Back
Top Bottom