Naomba kufahamu haya kuhusu chuo cha Kenyata

billgate98

Member
May 10, 2018
55
27
Habari wana jamvi.
Yoyote yule anaesoma au anaekifahamu vizuri hichi chuo kuhusu:-
1. Entry requirement kwa sisi wa Tz.
2. Malipo yake.
3. Mode of application kwa sisi wa Tz.
Maana nimeangalia Website yao kuna baadhi ya vitu sijavielewa vizuri.
Nawasilisha.
 
Unaenda kusomea nini? Naweza kuunganisha na Alumni wa KU (Kenyatta University)

Ni chuo Kizuri ,kuanzia mazingira ,miundombinu ,Lecture rooms ,na kila kitu kwa Mazingira tu ya chuo hakuna chuo cha kulinganishwa nacho kwa Tanzania
 
Itakuwa vizuri bro nataka nikasome kati ya course hizi:-
1. Bachelor of Medical lab science.
2. Bachelor Pharmacy.
3. Bsc in Microbiology.
Ni hizo apo mkuu ndio natak nisome moja wapo.

Ingia PM ,yako nimeshakupa maelekezo ya watu wa kukusaidia Alumni na Continuing students wa Kenyatta University (KU) ,

Nikutakie Masomo Mema
 
Back
Top Bottom