Mpira wa kona
JF-Expert Member
- Nov 25, 2016
- 350
- 338
Wadau Mh.Rais wetu amefanya teuzi za wabunge Wawili wiki hii.Miongoni wa hao walioteuliwa ni pamoja Na Bwana mkubwa Abdallah Bulembo.Ninaomba kujua Elimu ya Mteule Abdallah Bulembo .
Hahaa,eti la mkoloni,Darasa la saba la mkoloni
Sawasawa na holder wa PHD wa sasa.Darasa la saba la mkoloni
Kuna harufu ya ukweli mtupu hapaHahahahaah huyu ni Mzee wa Madarasa huko kwao Katoro..........Ila kuna viumbe wana zali humu Duniani jamani,