Naomba kufahamu CV za Prof. Mark Mwandosya na Prof. Homeli David Mwakyusa

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
9,263
2,000
Nianze na Profesa Mwandosya
 • Ni mhandisi wa umeme
 • Alisomea Japani
 • Amefundisha vyuo vikuu vingi kwanjia ya video conference kitambo
 • Hakusomea masters ila akawa Prof how? Alikuwa wizara moja na JK enzi za Mwinyi. Wakagombana. Mwinyi akawapatanisha
 • JK alipokuwa waziri akamteuwa kwenye serikali yake. Alikuwa na mabifu na Marais wawili JK na JPM
 • Anaishi Tukuyu Mwakaleli
 • Mnyakyusa.

Homeli David Mwakyusa
 • Ni mpole Sana sio mzungumzaji.
 • Hana makuu. Alikuwa mwenyeji wa bodi ya muhimbili.
 • Waziri wa afya
 • Daktari mahsusi wa Nyerere
 • Nyerere anafariki yeye ndio alikuwa pembeni.
 • Mnyakyusa.

Kiufupi Hawa watu wanani inspire Sana ila hawajulikani sana kwa undani naomba wenye CV zao watuwekee hapa msisubiri wamekufa.
 

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
9,263
2,000
Na what are they doing now for a living.

How much have they invested?

What kind of investments.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom