Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 226
- 281
Wakuu samahani nilikua naomba kujua ni nn kilikua chanzo cha ugonjwa wa marehem Malcolm Masoud mtoto wa Masoud Kipanya. Aliyekaa hapo kwenye wheel chair ndiye marehem Malcolm afya yake ilikua nzur kabla ya kubadilika na kuugua.