Naomba kufahamu Car Insurer anayelipa kwa haraka hapa Tanzania

mchepuko

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,192
1,400
Wakuu naomba kutoa malalamiko yangu kwa insurer X ambae amehold kutoa approval ya matengenezo ya gari yangu wakati kila kitu kipo mezani kwake wiki ya 3 hiii.

Gari yangu ilikuwa na comprehensive insurance na ilipata ajali ya kawaida na imediately nilikamilisha taarifa za polisi ikiwa ni pamoja na kulipia gharama za awali. Kabla sijamtaja uyu insurer wangu naomba kupewa list ya insuer wa magari wanaolipa kwa haraka based on your experience
 
Nilikua nina Claim Alliance Insurance,
Baada ya kukamilisha kila kitu nililipwa same week.

Nadhan pia Broker wangu alikua Sharp kufuatilia Documents mbalimbali za ajali.
 
Chonde, chonde baba. Usimuanike hadharani huyo insurer. Biashara yake itaharibika. Ni ombi
 
Back
Top Bottom