Naomba kufahamu bei ya mpunga Ifakara

Singidan

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
876
923
Habari wadau.

Naomba kufahamu Bei ya mpunga kwa eneo la Ifakara ni shilingi ngapi kwa sasa kwa gunia la debe kumi au bei ya Debe moja.

Lengo langu nataka nianze kununua kwa sasa ili mwezi wa 12 Bei ikiwa nzuri niuze.
 
Back
Top Bottom