Naomba kufahamu bei ya Choroko kwa wastani na upatikanaji wa masoko yake

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,553
3,070
Habari Waungwana,

Naomba kufahamu bei ya Choroko kwa wastani na upatikanaji wa masoko yake

Natanguliza shukran

Ahsanteni
 
Maeneo ya Same, Kilimanjaro bei ni kati ya Tsh 700 hadi Tsh 1000 kwa kilo. Hio ya Tsh 1000 ndio ile nzuri zaidi. Maundumula . Mwaka huu bei haija shoot sababu wafanyabiashara kutoka Kenya hawajavamia kule kuichukua
 
Same kijiji gani haswa mkuu?una contact za huko unisaidie?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom