Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Tafuta kitu inaitwa Neo Medrol. Pharmacy kubwa kubwa. Andaa pesa 22,000 mpaka 25,000. Kichupa kidogo sana kama eye drops. Yakirudia mapele nione.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu last week mimi nimetumia magic kunyolea.. imenitoa vipele hujawai kuona . Vp nikiitumia hii itanisaidia kuvikausha nikainunue asubuhi ?
 
Tumia Nivea after shave balm.
IMG_1950.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fugeni ndefu, acheni mawazo ya kutaka kuonekana wazuri, mwanaume lazima uwe na mindevu.. cha msingi uwe una osha tuu.. mi nina miaka 5 sijawahi nyoa sehemu yoyote except kichwa tuu nacho napunguza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima mbele Wakuu!
Tumia Dodoki au Burashi na povu jingi la sabuni wakati wa kuoga hasa siku 2 au 3 kila unaponyoa ndevu.
Nadhani, mapele ya ndevu husababishwa na mgando wa uchafu laini mfano jasho la mwili, marashi, vumbi na hata povu la sabuni nk... Mikono/viganja haviwezi kuzibua utando huo mwembamba ndani ya vishimo hivyo vidogo sana, badala yake viganja husiliba uchafu ndani zaidi ya njia ya kupitia ndevu changa na husababisha kujikunja kwa ndevu laini mno inayomea upya. Madawa ni biashara tu na mbwembwe za walimwengu... kama tatizo litajirudia baada ya yote hapo juu itakuwa ni hitilafu, ni vema umuone Dakitari!

Mimi si Daktari, nimeandika kutokana na uzowefu binafsi!

Shukrani Mwendabure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau ningependa kufahamu dawa ya kutumia after shave ambayo inazuia kutoka vipele vidogodogo..asante
 
Acha kunyolea wembe wa kawaida huo ndio ushauri, nunua mashine kama bado hujanunua endapo bado vipele vinaendelea nunua TRIODERM tube ambayo imechanganywa Betamethasone, Gentamycin na Tolnaftate.

Paka tube hii mara chache tu pale unapoona ndio kuna tatizo la vipele, muwasho au kama kuna makovu yaliyojitokeza baada ya kupata vipele itaviondoa na utakua soft.

Kuna nyingine inaitwa SKDERM CREAM hii pia itasaidia kukuondolea mapele hayo lakini paka sehem husika tu hapo hapo kidevuni kwenye vipele itaondoa vipele na weusi kisha utabaki ma ngozi yako ya kawaida. Usipake uso mzima kwasababu utakua mwenye uso angavu kama mabinti wapenda urembo sababu inafanya ngozi kuwa nyeupe kiasi kama ni binti sawa lakini kama ni mwanaume na haupendi mambo ya kuonekana una ngozi angavu kidogo paka kiasi tu.

Baada ya kupona uwe unatumia maji vuguvugu kuosha sehem uliyonyoa na upake 'Vaseline' kama ngozi yako ni kavu pia kama ngozi yako inamafuta mengi pakaa 'Vestline snow'.

Yangu ni hayo na ndio huwa natumia na sijawai kupata shida tangu nianze kutumia lakini kabla sijaanza kutumia njia hii nimepata shida sana hizo Aftershave hazina msaada utahangaika bure hazina tofauti na Bump Patrol Original formula. Ni usanii tu zinafanana tu na spirit labda kazi yake ni kuua bakteria lakini sio kutibu vipele.

Mkorintho wa 6
 
Acha kunyolea wembe wa kawaida huo ndio ushauri, nunua mashine kama bado hujanunua endapo bado vipele vinaendelea nunua TRIODERM tube ambayo imechanganywa Betamethasone, Gentamycin na Tolnaftate.

Paka tube hii mara chache tu pale unapoona ndio kuna tatizo la vipele, muwasho au kama kuna makovu yaliyojitokeza baada ya kupata vipele itaviondoa na utakua soft...

Shukran
 
Habari za majukumu wakuu,Nasumbuliwa na tatizo la vipele na baadae natokewa na mabaka meusi hii ni baada ya kunyoa ndevu haijalishi nimenyoa wapi na nimepewa huduma nzuri kiasi gani.

Naomba msaada kwa anayejua dawa au kinga ya hii kitu,mbalikiwe sana
cheki hii upate kujua zaidi..Hope itakusaidia sanaaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom