ulaya12
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 834
- 898
Mkuu last week mimi nimetumia magic kunyolea.. imenitoa vipele hujawai kuona . Vp nikiitumia hii itanisaidia kuvikausha nikainunue asubuhi ?Tafuta kitu inaitwa Neo Medrol. Pharmacy kubwa kubwa. Andaa pesa 22,000 mpaka 25,000. Kichupa kidogo sana kama eye drops. Yakirudia mapele nione.
Sent using Jamii Forums mobile app
Go buy it. Haijawahi kuniangusha.Mkuu last week mimi nimetumia magic kunyolea.. imenitoa vipele hujawai kuona . Vp nikiitumia hii itanisaidia kuvikausha nikainunue asubuhi ?
Asante bro ...itifaki imezingatiwa asante sana
Ushawahi kuona alopata athari,natumia magicshave mwaka wa kumi dojawahi ona shiada yytNimeogopa kutumua Magic sababu ya athari zake ambazo watu wanazizungumzia...so nimeona kinga ni bora kuliko tiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Magic shave usipofata mashart yake utaichukia, tengeneza uji mwepesi upake and acha dk 5-7 osha na maji hutasikia shidaMkuu last week mimi nimetumia magic kunyolea.. imenitoa vipele hujawai kuona . Vp nikiitumia hii itanisaidia kuvikausha nikainunue asubuhi ?
Inasaidia nini hii madame ,type Maelezo inatumikaje
Hongera jamaaFugeni ndefu, acheni mawazo ya kutaka kuonekana wazuri, mwanaume lazima uwe na mindevu.. cha msingi uwe una osha tuu.. mi nina miaka 5 sijawahi nyoa sehemu yoyote except kichwa tuu nacho napunguza
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani MwendabureHeshima mbele Wakuu!
Tumia Dodoki au Burashi na povu jingi la sabuni wakati wa kuoga hasa siku 2 au 3 kila unaponyoa ndevu.
Nadhani, mapele ya ndevu husababishwa na mgando wa uchafu laini mfano jasho la mwili, marashi, vumbi na hata povu la sabuni nk... Mikono/viganja haviwezi kuzibua utando huo mwembamba ndani ya vishimo hivyo vidogo sana, badala yake viganja husiliba uchafu ndani zaidi ya njia ya kupitia ndevu changa na husababisha kujikunja kwa ndevu laini mno inayomea upya. Madawa ni biashara tu na mbwembwe za walimwengu... kama tatizo litajirudia baada ya yote hapo juu itakuwa ni hitilafu, ni vema umuone Dakitari!
Mimi si Daktari, nimeandika kutokana na uzowefu binafsi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasaidia nini hii madame ,type Maelezo inatumikaje
Sh ngap
Acha kunyolea wembe wa kawaida huo ndio ushauri, nunua mashine kama bado hujanunua endapo bado vipele vinaendelea nunua TRIODERM tube ambayo imechanganywa Betamethasone, Gentamycin na Tolnaftate.
Paka tube hii mara chache tu pale unapoona ndio kuna tatizo la vipele, muwasho au kama kuna makovu yaliyojitokeza baada ya kupata vipele itaviondoa na utakua soft...
cheki hii upate kujua zaidi..Hope itakusaidia sanaaa.Habari za majukumu wakuu,Nasumbuliwa na tatizo la vipele na baadae natokewa na mabaka meusi hii ni baada ya kunyoa ndevu haijalishi nimenyoa wapi na nimepewa huduma nzuri kiasi gani.
Naomba msaada kwa anayejua dawa au kinga ya hii kitu,mbalikiwe sana