Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

dawa ya mapele kidevuni kwa mtu ambaye hapendi ndevu ni kunyoa kila siku, yaani kila siki pitisha wembe hauji kuona upele hata mmoja.
Ikitokea bahati mbaya haujapata muda wa kunyoa basi pitisha si zaidi ya siki 1, inayofuata nyoa
 
Acha kutumia kiwembe (Gillette), ndo suluhisho sahihi.. Kama huniamini.. Fanya jaribio, nenda kanyoe ndevu zako saluni kwa mashine kwa muda wa kama mwezi ivi bila kutumia kiwembe, nakuhakikishia utaona utofauti.
 
Wana JF habarini?

Wajameni ni changamoto kila nikinyoa ndevu vipele huwa vinaniota sana hasa nikitumia wembe, nimeamua kununua mashine ya kunyolea ila bado vinaniota.

Kila nikimaliza kunyoa huwa napaka spirit ila huwa vinaota tu.

Naomba kama kuna anayefahamu after shave nzuri ambayo nikipata vipele havioti anisadie...
 
Ndugu tambua kila mtu ngozi tuna tofautiana kuna watu, wanatumia wembe na poda na hawatoki vipele achana hiyo njia tafuta nyingine mimi nilikua mhanga wa hilo.

Ila saiv natumia magic sitoki vipele ingawa sio nzuri mara kwa mara navosikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeogopa kutumua Magic sababu ya athari zake ambazo watu wanazizungumzia...so nimeona kinga ni bora kuliko tiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom