Naomba kufahamu aftershave ya kuzuia vipele baada ya kunyoa

Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Messages
6,221
Likes
5,270
Points
280
Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2010
6,221 5,270 280
Fugeni ndefu, acheni mawazo ya kutaka kuonekana wazuri, mwanaume lazima uwe na mindevu.. cha msingi uwe una osha tuu.. mi nina miaka 5 sijawahi nyoa sehemu yoyote except kichwa tuu nacho napunguza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Author

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
370
Likes
417
Points
80
Author

Author

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
370 417 80
Mwendabure

Mwendabure

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
2,145
Likes
545
Points
280
Mwendabure

Mwendabure

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
2,145 545 280
Heshima mbele Wakuu!
Tumia Dodoki au Burashi na povu jingi la sabuni wakati wa kuoga hasa siku 2 au 3 kila unaponyoa ndevu.
Nadhani, mapele ya ndevu husababishwa na mgando wa uchafu laini mfano jasho la mwili, marashi, vumbi na hata povu la sabuni nk... Mikono/viganja haviwezi kuzibua utando huo mwembamba ndani ya vishimo hivyo vidogo sana, badala yake viganja husiliba uchafu ndani zaidi ya njia ya kupitia ndevu changa na husababisha kujikunja kwa ndevu laini mno inayomea upya. Madawa ni biashara tu na mbwembwe za walimwengu... kama tatizo litajirudia baada ya yote hapo juu itakuwa ni hitilafu, ni vema umuone Dakitari!

Mimi si Daktari, nimeandika kutokana na uzowefu binafsi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Author

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
370
Likes
417
Points
80
Author

Author

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
370 417 80
Heshima mbele Wakuu!
Tumia Dodoki au Burashi na povu jingi la sabuni wakati wa kuoga hasa siku 2 au 3 kila unaponyoa ndevu.
Nadhani, mapele ya ndevu husababishwa na mgando wa uchafu laini mfano jasho la mwili, marashi, vumbi na hata povu la sabuni nk... Mikono/viganja haviwezi kuzibua utando huo mwembamba ndani ya vishimo hivyo vidogo sana, badala yake viganja husiliba uchafu ndani zaidi ya njia ya kupitia ndevu changa na husababisha kujikunja kwa ndevu laini mno inayomea upya. Madawa ni biashara tu na mbwembwe za walimwengu... kama tatizo litajirudia baada ya yote hapo juu itakuwa ni hitilafu, ni vema umuone Dakitari!

Mimi si Daktari, nimeandika kutokana na uzowefu binafsi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani Mwendabure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,262,370
Members 485,562
Posts 30,121,407