Felice1 Senior Member Nov 11, 2016 106 142 Feb 12, 2017 #1 Mara nyingi huwa nasikia kwenye siasa Chama cha mrengo wa kulia, au kushoto. Hii ina maana gani?
Page 94 JF-Expert Member Oct 22, 2015 5,204 15,198 Feb 12, 2017 #2 Zaidi jisomee hapa. Utaelewa kila kitu. Karibu tena. Msaada: Sielewi maana ya mrengo wa kulia na mrengo wa kushoto
Zaidi jisomee hapa. Utaelewa kila kitu. Karibu tena. Msaada: Sielewi maana ya mrengo wa kulia na mrengo wa kushoto