October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 4,995
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
All the best big bro.Shukrani sana kwa mchango mkuu Ubarikiwe sana. Nadhani naaza kupata mwanga wa pa kuanzia.
Naomba bei ya pressure washer inauzwa vpSina sana experience. Ila naweza shauri kitu hapo.
Kwanza Uwe na pressure washer. Ukipata za umeme naona ni nzuri zaidi ukicompare na zile za kutumia mafuta.
Ukiweza kutega eneo la karibu na barabara nadhani itakuwa safi zaidi. Halafu unaweza ukaweka na huduma ya choo cha kulipia hapo hapo kwa ambao watakuwa sio wateja wako.
Penye wengi hapaharibiki neno. Wengine watakuja kujazia.
Naomba bei ya pressure washer inauzwa vp
Mkuu kwa tuliopo Dar inaweza kugharimu kiasi gani kukamilisha biashara hiiInategemea na eneo uliopo mkuu na sizes zake. Kama upo hapa dar kariakoo zimejaa nyingi tu na zingine huku stesheni na ile mitaa ya wahindi. kuna za laki 2,4,8 mpaka milioni kadhaa huko, size ndo ina matter sana.
Sijajua kwa eneo ulilopo. Ila kama upo dar jaribu pia kwenda kufanya window shopping kwenye hiyo mitaa.
Wewee kuwa serious ya laki 2 au 4 hemu eleza mchanganuo niimiliki hata kesho.Inategemea na eneo uliopo mkuu na sizes zake. Kama upo hapa dar kariakoo zimejaa nyingi tu na zingine huku stesheni na ile mitaa ya wahindi. kuna za laki 2,4,8 mpaka milioni kadhaa huko, size ndo ina matter sana.
Sijajua kwa eneo ulilopo. Ila kama upo dar jaribu pia kwenda kufanya window shopping kwenye hiyo mitaa.
Hii inatesa kibiashara ina power ndogo.Wewee kuwa serious ya laki 2 au 4 hemu eleza mchanganuo niimiliki hata kesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
No, Za mafuta ni Bora kuliko za umemeSina sana experience. Ila naweza shauri kitu hapo.
Kwanza Uwe na pressure washer. Ukipata za umeme naona ni nzuri zaidi ukicompare na zile za kutumia mafuta.
Ukiweza kutega eneo la karibu na barabara nadhani itakuwa safi zaidi. Halafu unaweza ukaweka na huduma ya choo cha kulipia hapo hapo kwa ambao watakuwa sio wateja wako.
Penye wengi hapaharibiki neno. Wengine watakuja kujazia.
No, za mafuta ni Bora kuliko za umemeShukrani sana kwa mchango mkuu Ubarikiwe sana. Nadhani naaza kupata mwanga wa pa kuanzia.
Wewee kuwa serious ya laki 2 au 4 hemu eleza mchanganuo niimiliki hata kesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana ni kwa upande wako Bob.No, Za mafuta ni Bora kuliko za umeme
Ok well said bro, Mimi ninayo ya umeme na ya mafuta, ya mafuta ni very flexible yaani unaweza kuitumia popote na umeme nimeshindwa kuitumia kutokana kushindwa kujenga miundo mbinu ya umeme.Inawezekana ni kwa upande wako Bob.
Ila kwa Mimi, Za umeme ni best zaidi. Kwa nini? Kwa sababu maintenance na running cost za machine sio kubwa as unakuwa hauhofii mambo ya kubadili spark plug, issue za engine oil, mafuta(Petrol) noise & air pollution na considerations zingine.
Kwa hiyo kwangu mimi natumia zaidi pressure washer ya umeme sababu kwa upande kwangu ni more reasonable as compared tu pressure washer za mafuta. Na ninakuhakikishia zipo pressure washer zenye uwezo mkubwa tu za kutumia umeme.
Ila kama jamaa anataka kutega sehemu hakuna umeme basi atumie pressure washer za mafuta. Na hawa mara nyingi wanatega maeneo ya mtoni na Mara nyingi wanaosha yale maroli.
mkuu kwa tuliopo Dar inaweza kugharimu kiasi gani kukamilisha biashara hii
Sent using Jamii Forums mobile app
All is well bro. Good luck!Ok well said bro, Mimi ninayo ya umeme na ya mafuta, ya mafuta ni very flexible yaani unaweza kuitumia popote na umeme nimeshindwa kuitumia kutokana kushindwa kujenga miundo mbinu ya umeme
Jaribu kupitia hii linkNataka kuanza biashara ya car wash but nlitaka kujua
1. Kodi ya eneo la biashara
2. Malipo ya wafanyi kazi yapo VP
3. Bei unacharge VP
4. Faida kwa siku inaweza simama ngapi