Naomba kufahamishwa zaidi gharama za biashara ya Car Wash na uendeshaji wake.


T

The hitman

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Messages
1,226
Likes
619
Points
280
T

The hitman

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2017
1,226 619 280
Inawezekana ni kwa upande wako Bob.

Ila kwa Mimi, Za umeme ni best zaidi. Kwa nini? Kwa sababu maintenance na running cost za machine sio kubwa as unakuwa hauhofii mambo ya kubadili spark plug, issue za engine oil, mafuta(Petrol) noise & air pollution na considerations zingine.

Kwa hiyo kwangu mimi natumia zaidi pressure washer ya umeme sababu kwa upande kwangu ni more reasonable as compared tu pressure washer za mafuta... Na ninakuhakikishia zipo pressure washer zenye uwezo mkubwa tu za kutumia umeme.


Ila kama jamaa anataka kutega sehemu hakuna umeme basi atumie pressure washer za mafuta... Na hawa mara nyingi wanatega maeneo ya mtoni na Mara nyingi wanaosha yale maroli.
Ok well said bro, Mimi ninayo ya umeme na ya mafuta, ya mafuta ni very flexible yaani unaweza kuitumia popote na umeme nimeshindwa kuitumia kutokana kushindwa kujenga miundo mbinu ya umeme
 
D

Di Ty

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2014
Messages
382
Likes
164
Points
60
D

Di Ty

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2014
382 164 60
mkuu kwa tuliopo Dar inaweza kugharimu kiasi gani kukamilisha biashara hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kwa kweli sijawahi kuifanya hii biashara. Ila jaribu kufanya analysis kwenye eneo, maji, nishati(umeme au mafuta) na standards za bei kwa huduma utakayoenda kuitoa na miscellaneous costs zingine
 
D

Di Ty

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2014
Messages
382
Likes
164
Points
60
D

Di Ty

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2014
382 164 60
Ok well said bro, Mimi ninayo ya umeme na ya mafuta, ya mafuta ni very flexible yaani unaweza kuitumia popote na umeme nimeshindwa kuitumia kutokana kushindwa kujenga miundo mbinu ya umeme

All is well bro... Good luck.
 

Forum statistics

Threads 1,261,942
Members 485,429
Posts 30,110,108