Naomba kufahamishwa zaidi gharama za biashara ya Car Wash na uendeshaji wake.

Louis II

Louis II

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Messages
1,978
Likes
2,487
Points
280
Louis II

Louis II

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2018
1,978 2,487 280
Poleni mihangaiko wakuu.

Nina idea ya kuanzisha biashara ya kuosha magari (car wash) ya kisasa kati ya mikoa mitatu i.e Dar Es Salaam, Tanga au Pwani (Kibaha/Mlandizi) sasa ningependa kujua mlolongo wa gharama za uanzishaji lakini pia uendeshaji wake kwa maana ya (management) lakini pia bila kusahau Faida zake na changamoto zake. Binafsi Pesa ya capital itapatikana na ipo tu ya kutosha. Nakaribisha maoni na ushauri wenu wakuu. Ahsanteni!!!
 
D

Di Ty

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2014
Messages
382
Likes
164
Points
60
D

Di Ty

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2014
382 164 60
Sina sana experience... Ila naweza shauri kitu hapo...

Kwanza Uwe na pressure washer... Ukipata za umeme naona ni nzuri zaidi ukicompare na zile za kutumia mafuta.

Ukiweza kutega eneo la karibu na barabara nadhani itakuwa safi zaidi... Halafu unaweza ukaweka na huduma ya choo cha kulipia hapo hapo kwa ambao watakuwa sio wateja wako.

Penye wengi hapaharibiki neno.... Wengine watakuja kujazia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
5,283
Likes
4,425
Points
280
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
5,283 4,425 280
Kuhusu iyo biashara, Mtaji ni pressure washer na Eneo ( Paved area) issue ya kuandaa eneo tunaweza tusiwe na gharama bayana ila unaweza tafuta eneo la kukodi au kununua kisha ukasakafia kwa zege na kuweka Lanes kama 4 hivi kwa ajili ya kuosha magari watatu au manne kwa wakati mmoja. Tafuta bati, tengeneza cannopy vizuri mambo yawe sawa
 
Louis II

Louis II

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Messages
1,978
Likes
2,487
Points
280
Louis II

Louis II

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2018
1,978 2,487 280
Sina sana experience... Ila naweza shauri kitu hapo...

Kwanza Uwe na pressure washer... Ukipata za umeme naona ni nzuri zaidi ukicompare na zile za kutumia mafuta.

Ukiweza kutega eneo la karibu na barabara nadhani itakuwa safi zaidi... Halafu unaweza ukaweka na huduma ya choo cha kulipia hapo hapo kwa ambao watakuwa sio wateja wako.

Penye wengi hapaharibiki neno.... Wengine watakuja kujazia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana kwa mchango mkuu Ubarikiwe sana. Nadhani naaza kupata mwanga wa pa kuanzia.
 
Louis II

Louis II

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Messages
1,978
Likes
2,487
Points
280
Louis II

Louis II

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2018
1,978 2,487 280
Kuhusu iyo biashara, Mtaji ni pressure washer na Eneo ( Paved area) issue ya kuandaa eneo tunaweza tusiwe na gharama bayana ila unaweza tafuta eneo la kukodi au kununua kisha ukasakafia kwa zege na kuweka Lanes kama 4 hivi kwa ajili ya kuosha magari watatu au manne kwa wakati mmoja. Tafuta bati, tengeneza cannopy vizuri mambo yawe sawa
Ubarikiwe sana mkuu...umenipa madini ya kuanzia. Shukaran sana.
 
C

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Messages
529
Likes
231
Points
60
Age
36
C

connections

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2013
529 231 60
Tafuta eneo la barabarani karibu na baa/nyama choma weka wadada wenye kuvutia angalau wawili
 
C

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Messages
529
Likes
231
Points
60
Age
36
C

connections

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2013
529 231 60
Car wash kuosha full saloon car 7,000/= faida itakuwepo kweli?
 
Once set

Once set

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Messages
401
Likes
500
Points
80
Once set

Once set

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2017
401 500 80
Sina sana experience... Ila naweza shauri kitu hapo...

Kwanza Uwe na pressure washer... Ukipata za umeme naona ni nzuri zaidi ukicompare na zile za kutumia mafuta.

Ukiweza kutega eneo la karibu na barabara nadhani itakuwa safi zaidi... Halafu unaweza ukaweka na huduma ya choo cha kulipia hapo hapo kwa ambao watakuwa sio wateja wako.

Penye wengi hapaharibiki neno.... Wengine watakuja kujazia.

Sent using Jamii Forums mobile app
naomba bei ya pressure washer inauzwa vp
 
D

Di Ty

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2014
Messages
382
Likes
164
Points
60
D

Di Ty

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2014
382 164 60
naomba bei ya pressure washer inauzwa vp
Inategemea na eneo uliopo mkuu na sizes zake... Kama upo hapa dar kariakoo zimejaa nyingi tu na zingine huku stesheni na ile mitaa ya wahindi. kuna za laki 2,4,8 mpaka milioni kadhaa huko... size ndo ina matter sana.

Sijajua kwa eneo ulilopo... ila kama upo dar jaribu pia kwenda kufanya window shopping kwenye hiyo mitaa.
 
Daniel Agger

Daniel Agger

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Messages
3,214
Likes
3,476
Points
280
Daniel Agger

Daniel Agger

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2013
3,214 3,476 280
Inategemea na eneo uliopo mkuu na sizes zake... Kama upo hapa dar kariakoo zimejaa nyingi tu na zingine huku stesheni na ile mitaa ya wahindi. kuna za laki 2,4,8 mpaka milioni kadhaa huko... size ndo ina matter sana.

Sijajua kwa eneo ulilopo... ila kama upo dar jaribu pia kwenda kufanya window shopping kwenye hiyo mitaa.
mkuu kwa tuliopo Dar inaweza kugharimu kiasi gani kukamilisha biashara hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bichwa bure

Bichwa bure

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2017
Messages
247
Likes
123
Points
60
Bichwa bure

Bichwa bure

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2017
247 123 60
Inategemea na eneo uliopo mkuu na sizes zake... Kama upo hapa dar kariakoo zimejaa nyingi tu na zingine huku stesheni na ile mitaa ya wahindi. kuna za laki 2,4,8 mpaka milioni kadhaa huko... size ndo ina matter sana.

Sijajua kwa eneo ulilopo... ila kama upo dar jaribu pia kwenda kufanya window shopping kwenye hiyo mitaa.
Wewee kuwa serious ya laki 2 au 4 hemu eleza mchanganuo niimiliki hata kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
390
Likes
167
Points
60
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2018
390 167 60
Mikoa ambayo carwash ina pay off dar magari ni mengi, dodoma kikao cha bunge, arusha, na Moshi magari ya tours, kwa Tanga mjini naijua car wash moja tu, maji tanga siyo shida wanaoshea home amna mizunguko na pia amna kuchafuka kwa magari kiivo... Car wash nzuri na kubwa inalipaaa
 
T

The hitman

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Messages
1,225
Likes
619
Points
280
T

The hitman

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2017
1,225 619 280
Sina sana experience... Ila naweza shauri kitu hapo...

Kwanza Uwe na pressure washer... Ukipata za umeme naona ni nzuri zaidi ukicompare na zile za kutumia mafuta.

Ukiweza kutega eneo la karibu na barabara nadhani itakuwa safi zaidi... Halafu unaweza ukaweka na huduma ya choo cha kulipia hapo hapo kwa ambao watakuwa sio wateja wako.

Penye wengi hapaharibiki neno.... Wengine watakuja kujazia.

Sent using Jamii Forums mobile app
No, Za mafuta ni Bora kuliko za umeme
 
D

Di Ty

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2014
Messages
382
Likes
164
Points
60
D

Di Ty

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2014
382 164 60
Wewee kuwa serious ya laki 2 au 4 hemu eleza mchanganuo niimiliki hata kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza mihemuko Bob... Hizo pressure washer kuna mpya na used na za brands tofauti tofauti... Kuna za mafuta na za umeme... Sasa hivyo vigezo vyote zinaleta hizo price range nilizozitaja na ndo maana nikampa mwongoza jamaa hapo juu na yeye aende akafanye window shopping ili kujiridhisha.
 
D

Di Ty

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2014
Messages
382
Likes
164
Points
60
D

Di Ty

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2014
382 164 60
No, Za mafuta ni Bora kuliko za umeme

Inawezekana ni kwa upande wako Bob.

Ila kwa Mimi, Za umeme ni best zaidi. Kwa nini? Kwa sababu maintenance na running cost za machine sio kubwa as unakuwa hauhofii mambo ya kubadili spark plug, issue za engine oil, mafuta(Petrol) noise & air pollution na considerations zingine.

Kwa hiyo kwangu mimi natumia zaidi pressure washer ya umeme sababu kwa upande kwangu ni more reasonable as compared tu pressure washer za mafuta... Na ninakuhakikishia zipo pressure washer zenye uwezo mkubwa tu za kutumia umeme.

Ila kama jamaa anataka kutega sehemu hakuna umeme basi atumie pressure washer za mafuta... Na hawa mara nyingi wanatega maeneo ya mtoni na Mara nyingi wanaosha yale maroli.
 
Forum statistics

Threads 1,261,893
Members 485,352
Posts 30,107,817