Naomba kufahamishwa vyuo vya afya vya serikali hapa Tanzania

Mr. Wise

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
7,718
6,441
Habari wana jamvi

Samahani ningependa kuvijua vyuo vya afya vya serikali, plz kama umesoma ama umewahi kukisikia chochote naomba nitajie katika huu huzi kisha nivichuje.

Je mtoto wa form IV mwenye
C-Chemistry
C-Biology
D-Physics
F-Mathematics

Anaweza pata nafasi ya kusoma Diploma ktk vyuo hivi?
 
kuna dogo mmoja kwenye hizo marks alikubaliwa form v PRIVATE comb CBG CHEM C GEOG C BIOL C
 
Habari wana jamvi

Samahani ningependa kuvijua vyuo vya afya vya serikali, plz kama umesoma ama umewahi kukisikia chochote naomba nitajie katika huu huzi kisha nivichuje.

Je mtoto wa form IV mwenye
C-Chemistry
C-Biology
D-Physics
F-Mathematics

Anaweza pata nafasi ya kusoma Diploma ktk vyuo hivi?
Lugalo
Muhimbili
 
Back
Top Bottom