Naomba kufahamishwa Vyuo bora kwa kozi za Engineering Tanzania

Hosea Dibson

Member
Jul 15, 2021
25
45
Mkuu

Hao Maengineer wenyewe wa nje wanaokuja kufanya kazi huku Bongo huwa wanasajiliwa na ERB. Who told you Bongo Engineering ni Magumashi? Kama ni Magumashi Isingekuchukua miaka 7,mpaka kuwa registered as Professional Engineer tena kwa kuandika ripoti ya ulichokifanya kila baada ya miezi mitatu ambayo inakaguliwa ,kwa miaka mitatu tokea umemaliza degree yako ya miaka minne (Ambaye huyu ndiye 'complete' Engineer ambaye huapa kwa kiapo).

Sina, uhakika mtu aliyepitia huo mlolongo anaweza kuwa Magumashi.Ingawa aliyepitia huo mlolongo kimagumashi ndio anaweza kuwa Magumashi.

Huko kimataifa unakosema,kuna nchi hazina mlolongo huo? Mfano UK (Uingereza) kuna vyuo mtu anaweza soma degree na Masters kwenye Engineering na within 4yrs akamaliza,Mifano halisi ipo.
Umeongea ukweli mkuu
 
Teknologist

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,082
2,000

Uko serios kweli?

Sasa kama haitambuliki duniani kwann hao walioko duniani wakitaka kuja Tz ni lazima wasajiliwe na Profeshino engineers?

Umeongea ukweli mkuu
Tatizo wote mnaongelea one way traffic ya mtu kuja na hizo zinazotambulika kimataifa na kuasjiliwa ERB, that's piece of cake..
Sasa wewe sajiliwa na ERB, halafu upeleke huo usajili wako kwenye za kimataifa ndio utajua kitumbua sio andazi......
 
Eng peter pan

JF-Expert Member
Sep 15, 2021
532
500
Habari za saizi wana jukwaa popote pale ulipo ndani ya mipaka ya Tanzania na hata nje.

Kulingana na matokeo ya kidato cha sita, wengi wa wadogo zetu wanatamani kujua vyuo bora vinavotoa kozi za engineering ili waendeleze carier zao.

Ukiaachana na majina ya vyuo, natamani kujua vyuo vinavotoa kweli wahandisi hapa nchini.

Karibuni...
Vyuo makini Ardhi ,udsm na Must vingne tai maji tia maji tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom