Eng Hanscana La Cavella
Member
- Jan 15, 2018
- 79
- 65
Hujanitajia bado shule hata moja ya serikali ambayo wanafunzi wanafaulu kwa juhudi za walimu wao na shule.
Hachana nae... hao walio pata IV na 0 sijui wangepata ngapi kama wangesoma katika vituo vya mitihani...
Hahaha... tuna mkaribisha kangomba... awe mstali wa mbele kupakia korosho kwenye Airbus kupeleka kwa mabeberu... sisi tuna taka noti maendeleo hayana chama...
Anko wa kwangu Mimi kapasua huko kijijini ndani ndani bila ya tuition na kapiga two safi na namba kagonga A nzuri sana... Degree kaenda somea mathematics... amemaliza yupo ana pika Mishe zake...
Mawazo ya kimasikini sishangai.Hata tukikueleza huto tuamini sababu tayari una mawazo yako... hacha tukuangalie tu... hiyo Alpha utazani ni bonge la shule kumbe hamna kitu...
Ila kuna MTU ana shupaa utazani nini hahahahaha maisha haya...
dunia ime beba watu, hakika ime jaza kila sampuli ya watu...
Hakika... jitahidi kuwa na mawazo zaidi na zaidi... jiondoe ktk uduni wa mawazo... ndipo utaona wengine mawazo yao yapoje
BlessingsNATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
ACSEE 2018 EXAMINATION RESULTS
S2549 ALPHA SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 50; DIV-II = 154; DIV-III = 75; DIV-IV = 4; DIV-0 = 0
Asante sanaO LEV Ada milioni 4
Advance Ada milioni 5.5 kwa PCB na PCM ,HKL ,HGL,ECA,EGM ,HGE,ada ni chini ya hapo kwenye milioni 5 lakini haizidi 5.3.
Shule ni ya kutwa na bweni, wanaume wanakaa hapo hapo shuleni, wanawake mabweni yao yapo nje ya shule hivyo huwa waanachukuliwa na kurudishwa na magari ya shule.
Kusoma mwisho saa 4 usiku hakuna mambo ya kukesha kesha.
Ni shule ya kisasa na walimu waliobobea
Imekamilika kila kitu .
Ukiwa na swali zaidi niulize.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pata historia ya Tanzania one toka ilboru... utaelewa nilicho kueleza... kama akili hauna ni hauna tu hata ukipelekwa ukasome ktk mashule unayo amini ni bora
Sijasikiliza historia ya huyo Tanzania One toka Ilboru, na naomba kusema wazi kuwa nayaheshimu mawazo yako lakini sikubaliani na hiyo statement `kama huna akili huna tu`. Kila mtu ana kitu cha tofauti ambacho wengine hawana, ni kweli tunatofautiana kwenye uwezo wa kuelewa mambo lkn hata yule anayeonekana hana akili akiongeza bidii anafanikiwa. Ukweli ni kwamba shule nyingi ambazo zinafaulisha sana huchukua wanafunzi ambao wana uwezo mkubwa darasani hivyo walimu hufanya kazi rahisi sana ya kuwaongezea ujuzi. Lakini kwa zile shule ambazo zinachukua wanafunzi wenye uwezo tofauti, zinahitaji bidii ya ziada ya mwalimu ili kumfanya mwanafunzi mbaya awe mzuri `making the worst the best`. Yeyote yule, hata anayesemakana kutokuwa na akili anaweza kufanya vizuri sana km tu ataongeza nguvu zaidi kwenye kutafuta ujuzi. Ninaamini wote tuna mifano hai hata ya maisha yetu wenyewe au ya wale wanaotuzunguka lkn pia tukiuchukulia mfano wa Ben Carson aliyeandika kitabu cha Think Big, mwanzoni alikuwa ndo `the dumbest child in class`mpaka alipofika la tano, lkn alipobadili mfumo wa maisha na kuanza kusoma sana akabadilika na kuwa `the most intelligent`. Yote yanawezekana.Pata historia ya Tanzania one toka ilboru... utaelewa nilicho kueleza... kama akili hauna ni hauna tu hata ukipelekwa ukasome ktk mashule unayo amini ni bora
Mzee Lowassa alusungiziwa while no ya profesa Mayohii ndio shule ya mamvi mgombea wa mwaka 2015 au sio hii?? alphatel Alpha nini sijui... nenda kasome usiwe na hofu... kama zimo zimo kama una taka shule ya kwenda kupiga chabo haya endelea kutafuta za wapiga chabo kwa kigezo cha elimu bora...!
Huku kuna maTO wana toka shule za kata na hizi kongwe...