Naomba kufahamishwa vitu muhimu kuhusu Alpha High School

kama hujui kitu bora ufunge mdomo .

Sent using Jamii Forums mobile app
Anko wa kwangu Mimi kapasua huko kijijini ndani ndani bila ya tuition na kapiga two safi na namba kagonga A nzuri sana... Degree kaenda somea mathematics... amemaliza yupo ana pika Mishe zake...

hacha ujuaji...!

ndio maana mwanzo nilikueleza kuwa shule nzuri sio ufumbuzi Ila akili za MTU mwenyewe kwanza... kama hana akili hana tu ata umpeleke unapo pafahamu wewe sijui Alpha.

Ila kwakuwa tayari una mawazo mgando na haupo tayari kupokea na kujifunza kitu kipya ni lazima ufanye unacho kifanya sasa

ujuaji mwingi mbele kiza...
 
Hata tukikueleza huto tuamini sababu tayari una mawazo yako... hacha tukuangalie tu... hiyo Alpha utazani ni bonge la shule kumbe hamna kitu...

Ila kuna MTU ana shupaa utazani nini hahahahaha maisha haya...

dunia ime beba watu, hakika ime jaza kila sampuli ya watu...
 
O LEV Ada milioni 4

Advance Ada milioni 5.5 kwa PCB na PCM ,HKL ,HGL,ECA,EGM ,HGE,ada ni chini ya hapo kwenye milioni 5 lakini haizidi 5.3.


Shule ni ya kutwa na bweni, wanaume wanakaa hapo hapo shuleni, wanawake mabweni yao yapo nje ya shule hivyo huwa waanachukuliwa na kurudishwa na magari ya shule.


Kusoma mwisho saa 4 usiku hakuna mambo ya kukesha kesha.


Ni shule ya kisasa na walimu waliobobea


Imekamilika kila kitu .


Ukiwa na swali zaidi niulize.



Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana
 
Pata historia ya Tanzania one toka ilboru... utaelewa nilicho kueleza... kama akili hauna ni hauna tu hata ukipelekwa ukasome ktk mashule unayo amini ni bora
Sijasikiliza historia ya huyo Tanzania One toka Ilboru, na naomba kusema wazi kuwa nayaheshimu mawazo yako lakini sikubaliani na hiyo statement `kama huna akili huna tu`. Kila mtu ana kitu cha tofauti ambacho wengine hawana, ni kweli tunatofautiana kwenye uwezo wa kuelewa mambo lkn hata yule anayeonekana hana akili akiongeza bidii anafanikiwa. Ukweli ni kwamba shule nyingi ambazo zinafaulisha sana huchukua wanafunzi ambao wana uwezo mkubwa darasani hivyo walimu hufanya kazi rahisi sana ya kuwaongezea ujuzi. Lakini kwa zile shule ambazo zinachukua wanafunzi wenye uwezo tofauti, zinahitaji bidii ya ziada ya mwalimu ili kumfanya mwanafunzi mbaya awe mzuri `making the worst the best`. Yeyote yule, hata anayesemakana kutokuwa na akili anaweza kufanya vizuri sana km tu ataongeza nguvu zaidi kwenye kutafuta ujuzi. Ninaamini wote tuna mifano hai hata ya maisha yetu wenyewe au ya wale wanaotuzunguka lkn pia tukiuchukulia mfano wa Ben Carson aliyeandika kitabu cha Think Big, mwanzoni alikuwa ndo `the dumbest child in class`mpaka alipofika la tano, lkn alipobadili mfumo wa maisha na kuanza kusoma sana akabadilika na kuwa `the most intelligent`. Yote yanawezekana.

Na faida za shule zinazofanya vizuri zinamchallenge mtoto kufanya vizuri zaidi, na zile ambazo ni za kawaida akiwa mwanafunzi asiye na bidii binafsi ataishia kuwacheka wenye bidii kuwa wametumwa na kijiji na hivyo kuendelea kufanya uzembe.Ni sawa na mtoto aliyezaliwa kwenye nyumba ya udongo na hajawahi kwenda mahali pengine popote akaona nyumba ya matofali, hawezi kufikiria kujenga nyumba ya tofali kwa sababu mazingira aliyiôkulia hayajamchallenge kabisa unless awe genious na innovator agundue njia zake mpya za kujenga nyumba bora zaidi. Lakini pia wakati mwingine mtihani unaweza kuja vzuri yale uliyoyasoma ndo yanatoka, hapo hata kama mwanafunzi anasemekeana kutokuwa na akili atafaulu tu. kwahiyo mimi naamini elimu ni zaidi ya mtihani na aliyefika form four hata kama kazungusha lazima anakuwa amepata kitu cha tofauti hata ustaarab, jinsi ya kuhîshi na watu na elimu nyinginezo.
 
Kwa wastani ufaulu una vyote viwili school effect na individual effect, ndio maana kuna shule zina ufaulu wa juu na nyingine za kawaida na pia wa chini. Huko kote utaona kuna wanafunzi wanaweza wakawa na ufaulu wa juu kwenye shule yenye ufaulu wa chini, lakini hii haiondoi ukweli kuna shule zenye ufaulu wa juu.
 
hii ndio shule ya mamvi mgombea wa mwaka 2015 au sio hii?? alphatel Alpha nini sijui... nenda kasome usiwe na hofu... kama zimo zimo kama una taka shule ya kwenda kupiga chabo haya endelea kutafuta za wapiga chabo kwa kigezo cha elimu bora...!

Huku kuna maTO wana toka shule za kata na hizi kongwe...
Mzee Lowassa alusungiziwa while no ya profesa Mayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom