O LEV Ada milioni 4Ndugu, naombeni information zaidi kuhusu Alpha High School, ubora wa elimu inayotolewa pale na kama kuna chochote cha muhimu cha kukifahamu.
Government hakuna shule bali ni vituo tu vya kufanyia mitihani.hii ndio shule ya mamvi mgombea wa mwaka 2015 au sio hii?? alphatel Alpha nini sijui... nenda kasome usiwe na hofu... kama zimo zimo kama una taka shule ya kwenda kupiga chabo haya endelea kutafuta za wapiga chabo kwa kigezo cha elimu bora...!
Huku kuna maTO wana toka shule za kata na hizi kongwe...
Ina wezekana ni vituo vya kufanyia mitihani... tuishie hapo maana ukitaka kujua zaidi jifunze kupambanua mambo kwa upana wake...
Iko mkoa gani hii shule?NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
ACSEE 2018 EXAMINATION RESULTS
S2549 ALPHA SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 50; DIV-II = 154; DIV-III = 75; DIV-IV = 4; DIV-0 = 0
DSM mikocheni. Ingilia pale wanaita ITV kituo baada ya mwenge kama unaelekea makumbushoIko mkoa gani hii shule?
DSM mikocheni. Ingilia pale wanaita ITV kituo baada ya mwenge kama unaelekea makumbusho
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Hivyo ni vituo vya kufanyia mitihani, watoto wanahangaika tuitions huku mitaani hapo kwenye vituo wanakuja tu kukamilisha utaratibu lakini hizo sio shule ni takataka.Ina wezekana ni vituo vya kufanyia mitihani... tuishie hapo maana ukitaka kujua zaidi jifunze kupambanua mambo kwa upana wake...
Ubarikiwe
Ipo Nachingwea ndani ndani hko wanakopatikana kina kangomba.Iko mkoa gani hii shule?
Aisee bonge LA dharauHivyo ni vituo vya kufanyia mitihani, watoto wanahangaika tuitions huku mitaani hapo kwenye vituo wanakuja tu kukamilisha utaratibu lakini hizo sio shule ni takataka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao alpha vyuoni tumewabuluza sana hao wazee was spoon feedingHivyo ni vituo vya kufanyia mitihani, watoto wanahangaika tuitions huku mitaani hapo kwenye vituo wanakuja tu kukamilisha utaratibu lakini hizo sio shule ni takataka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajie shule hata moja ya serikali inayofaulisha yenyewe kama yenyewe bila nguvu ya wanafunzi kukesha kwenye vibanda umiza kusoma tuitions