Naomba kufahamishwa vitu muhimu kuhusu Alpha High School

Uda Maki

New Member
Jan 6, 2019
4
2
Ndugu, naombeni information zaidi kuhusu Alpha High School, ubora wa elimu inayotolewa pale na kama kuna chochote cha muhimu cha kukifahamu.
 
hii ndio shule ya mamvi mgombea wa mwaka 2015 au sio hii?? alphatel Alpha nini sijui... nenda kasome usiwe na hofu... kama zimo zimo kama una taka shule ya kwenda kupiga chabo haya endelea kutafuta za wapiga chabo kwa kigezo cha elimu bora...!

Huku kuna maTO wana toka shule za kata na hizi kongwe...
 
Ndugu, naombeni information zaidi kuhusu Alpha High School, ubora wa elimu inayotolewa pale na kama kuna chochote cha muhimu cha kukifahamu.
O LEV Ada milioni 4

Advance Ada milioni 5.5 kwa PCB na PCM ,HKL ,HGL,ECA,EGM ,HGE,ada ni chini ya hapo kwenye milioni 5 lakini haizidi 5.3.

Shule ni ya kutwa na bweni, wanaume wanakaa hapo hapo shuleni, wanawake mabweni yao yapo nje ya shule hivyo huwa waanachukuliwa na kurudishwa na magari ya shule.

Kusoma mwisho saa 4 usiku hakuna mambo ya kukesha kesha.

Ni shule ya kisasa na walimu waliobobea

Imekamilika kila kitu .

Ukiwa na swali zaidi niulize.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii ndio shule ya mamvi mgombea wa mwaka 2015 au sio hii?? alphatel Alpha nini sijui... nenda kasome usiwe na hofu... kama zimo zimo kama una taka shule ya kwenda kupiga chabo haya endelea kutafuta za wapiga chabo kwa kigezo cha elimu bora...!

Huku kuna maTO wana toka shule za kata na hizi kongwe...
Government hakuna shule bali ni vituo tu vya kufanyia mitihani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

ACSEE 2018 EXAMINATION RESULTS

S2549 ALPHA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 50; DIV-II = 154; DIV-III = 75; DIV-IV = 4; DIV-0 = 0
 
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

ACSEE 2016 EXAMINATION RESULTS

S2549 ALPHA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 43; DIV-II = 101; DIV-III = 57; DIV-IV = 1; DIV-0 = 2
 
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2017 EXAMINATION RESULTS

S2549 ALPHA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 24; DIV-II = 70; DIV-III = 20; DIV-IV = 1; DIV-0 = 0
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom