Fernando Jr
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,220
- 4,804
Wakuu habari za wasaa huu?
Kama heading inavyoeleza, naomba kufahamishwa HESLB wana vigezo vipi katika kutoa mikopo kwa wanafunzi ambao wanaingia wakiwa na stashahada (equivalent entry).
Naomba hasa kigezo cha muda (mhusika awe ana miaka mingapi tangu ahitimu stashahada yake).
Pia kama ni mtumishi anapata mkopo?