Naomba kufahamishwa vigezo vya kupata mkopo HESLB kwa diploma holder

Fernando Jr

JF-Expert Member
Jul 12, 2017
2,366
2,000
Wakuu habari za wasaa huu?

Kama heading inavyoeleza, naomba kufahamishwa HESLB wana vigezo vipi katika kutoa mikopo kwa wanafunzi ambao wanaingia wakiwa na stashahada (equivalent entry).

Naomba hasa kigezo cha muda (mhusika awe ana miaka mingapi tangu ahitimu stashahada yake).

Pia kama ni mtumishi anapata mkopo?
 
Fernando Jr

JF-Expert Member
Jul 12, 2017
2,366
2,000
Subiri bodi ikitoa mwongozo mpya wa mwaka huu. Mbona una haraka sana?

#MaendeleoHayanaChama
Nataka nianze maandalizi mapema, huku nikijua kiwango cha msoto nilicho nacho.

Si unajua maisha tuliyo nayo sisi 'wanyonge'...
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
16,377
2,000
Wakuu habari za wasaa huu?

Kama heading inavyoeleza, naomba kufahamishwa HESLB wana vigezo vipi katika kutoa mikopo kwa wanafunzi ambao wanaingia wakiwa na stashahada (equivalent entry).

Naomba hasa kigezo cha muda (mhusika awe ana miaka mingapi tangu ahitimu stashahada yake).

Pia kama ni mtumishi anapata mkopo?
Kama una kauwezo hata kadogo ka kujisomesha NAKUSHAURI KAA MBALI NA LOAN BOARD.

Leo hutanielewa ila siku ukikumbuka hili bandiko itakua too late.
 
Fernando Jr

JF-Expert Member
Jul 12, 2017
2,366
2,000
Kama una kauwezo hata kadogo ka kujisomesha NAKUSHAURI KAA MBALI NA LOAN BOARD.

Leo hutanielewa ila siku ukikumbuka hili bandiko itakua too late.
Mkuu nakuelewa sana, ila kama nilivyosema awali, maisha ya 'kinyonge' ndiyo changamoto.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom