Naomba kufahamishwa utaratibu wa kwenda New zealand

BLACK_WIDOW

Senior Member
Nov 17, 2018
133
318
Wakubwa shikamooni,

Mdogo wenu hapa JF ninaomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya Taifa la New zealand, utaratibu wao wa viza, kama kuna changamoto za uingiaji na kama kuna mianya ya kuitumia ili kuingia (labda documents gani zenye ushawishi pindi uombapo viza), flight cost.

Kiukweli nchi zile mbili zilizojitenga pembeni kule karibu na Antarctica, Australia na New zealand zinanivutia saana, haswa NZ, naamini kutakuwa na fursa huko, nimepata habari juu juu, hata raia wa vile visiwa vya oceania ndio Ulaya yao ipo pale.

Raia kama wa Vanuatu hujilipua NZ na Australia, nataka na mimi nikapambanie fursa ikiwezekana nikabebe nao mabox huko.

Naomba wenye detailed information kuhusu New Zealand, mnisaidie mdogo wenu
 
Nachojua New zealand ni mojawapo ya taifa lenye watu wenye furaha zaidi duniani
 
Wakubwa shikamooni,

Mdogo wenu hapa JF ninaomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya Taifa la New zealand, utaratibu wao wa viza, kama kuna changamoto za uingiaji na kama kuna mianya ya kuitumia ili kuingia (labda documents gani zenye ushawishi pindi uombapo viza), flight cost.

Kiukweli nchi zile mbili zilizojitenga pembeni kule karibu na Antarctica, Australia na New zealand zinanivutia saana, haswa NZ, naamini kutakuwa na fursa huko, nimepata habari juu juu, hata raia wa vile visiwa vya oceania ndio Ulaya yao ipo pale.

Raia kama wa Vanuatu hujilipua NZ na Australia, nataka na mimi nikapambanie fursa ikiwezekana nikabebe nao mabox huko.

Naomba wenye detailed information kuhusu New Zealand, mnisaidie mdogo wenu

Tanzania 'Fursa' zimeisha?
 
Ndo nilichouliza hapo juu, nimeuliza kuhusu Tanzania hapo?? @Gentamycin
 
Kuna Dada mmoja amesomea Australia aliwahi kuniambia ndio moja kati ya nchi zenye wine bora kabisa duniani na halafu pia kupata visa ni issue.
 
Back
Top Bottom