Mbishi Uswazi
Senior Member
- Feb 7, 2020
- 142
- 245
Naomba kufahamishwa utaratibu wa kupata leseni ya wafanya biashara wadogo mbadala wa vitambulisho vya Magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una biashara gani?Naomba kufahamishwa utaratibu wa kupata leseni ya wafanya biashara wadogo mbadala wa vitambulisho vya magufuli
Banda la chipsUna biashara gani?
Hilo banda liko maeneo gani? Kama ni uswahilini puyanga tu, ila kama unapenda kuchangia kodi nenda ofisi ya kata kaombe fomu za leseni ya biashara.Banda la chips
Asante Sana nimefanikiwa, Kwa kutumia Machinga App ni rahisi sanaMaombi ya kitambulisho yatapokelewa katika Mkoa/Manispaa/Halmashauri husika kupitia mfumo wa kieletroniki wa TAMISEMI(www.tamisemi.go.tz) au kupitia Machinga App inayopatikana kwenye simu yako ya kiganjani kwa kujaza taarifa binafsi na biashara kama ifuatavyo:-Jinsia,hali ya ndoa, Makadiriao ya mauzo,muda wa makadirio,aina ya biashra,Mkoa ilipo biashara,Wilaya biashara ilipo na eneo la biashara.
Taarifa hizo zitahakikiwa na kupitishwa na Halmashauri husika kwa hatua ya awali ya mchakato wa uchapishaji wa vitambulisho.
Kwa wale ambao watashindwa kutumia nji hizo hapo juu, watatakiwa kwenda ofisi za Halmashauri zilizo jirani yao ili waweze kupata msaada wa kujisajili.
Ndo ikojeAsante Sana nimefanikiwa, Kwa kutumia Machinga App ni rahisi sana